nzagambadume
JF-Expert Member
- Apr 9, 2018
- 2,430
- 5,779
Ebanaeee, balaa kubwaaaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapa kuna mantiki waangalie head to head.Goal difference zinafanana...ukienda kwenye head to head stand ana advantage as alimfunga kagera 3-1 kaitaba na shinyanga ilikua 1-1...kwa mantiki hiyo kagera anashuka
Patachimbika!!Wanatuchanganya
stand kabla ya mchezo wa leo alikuwa na GD -10 Kagera alikuwa na GD -10.
Matokeo ya leo kagera 1_1, stand 0_2
Nasubiria kuliona shimo.Patachimbika!!
Kama ni hivi basi Stand ashuke tu daraja, hakuna namnaWanatuchanganya
stand kabla ya mchezo wa leo alikuwa na GD -10 Kagera alikuwa na GD -10.
Matokeo ya leo kagera 1_1, stand 0_2
Simba fc watafutahi kagera fc kushuka walau wapumzike kwa vipigoAcha ashuke tu ...hakuna namna.
Yanga na wenyew watafurahi stendi ashuke ili wapumzike vipigoSimba fc watafutahi kagera fc kushuka walau wapumzike kwa vipigo
Acha umbumbuta wa soka,kwa nini hakushika nafasi za juu? Kang'ang'ania nafasi za chini,hii inaonyesha uwezo wake ni mdogo.Ashuke na wanaostahili wapande.Kagera waliendewa mpk fifa na mikia,hapo inatumika kila namna kagera ashushwe hata kinguvu ili tu timu pendwa na tff ipate kupumua
Simba watafurahi sanaGoal difference zinafanana...ukienda kwenye head to head stand ana advantage as alimfunga kagera 3-1 kaitaba na shinyanga ilikua 1-1...kwa mantiki hiyo kagera anashuka
Wameishusha kagera kimakusudi .Wanatuchanganya
stand kabla ya mchezo wa leo alikuwa na GD -10 Kagera alikuwa na GD -10.
Matokeo ya leo kagera 1_1, stand 0_2