Kituko: TFF yaishusha Kagera Sugar ,Azam tv yaishusha Stand Utd

BODI YA LIGI YAIREJESHA KAGERA SUGER PLAY OFF.

HEMED KIVUYO.

Bodi inayosimamia ligi kuu Nchini imekiri Kuwepo kwa Makosa ya takwimu Na kuirejesha timu ya Kagera suger katika ligi kuu ambapo sasa inacheza hatua ya play off.

Akingea Na ITV mtendaji mkuu wa bodi hiyo Boniface wambura AMESEMA kwa Makosa hayo ofisi yake inawajibika kwa kumpa adhabu aliyepotosha takwimu hiyo.

Kwa Mustakabali huo timu ya Stand United in ashuka daraja moja kwamoja Na Kagera suger italazimika kucheza michezo miwili ya play off ili kupata ridhaa ya Kuendelea Na ligi kuu msimu ujao
 
Kwanza wewe unamjua vizuri mleta Uzi, ni shabiki wa mikia lia lia. Hapo t.f.f kuna mchezo mchafu unaendelea.
Ishu sio mleta uzi mkuu.. kama kagera kaminywa apewe haki yake pia stand .
 
Kigezo cha kwanza huwa ni point then head to head,baada ya hapo ni goal difference, hiyo ni kwa mjibu wa TFF mabadiliko waliyofanya msimu huu wakati league inaanza.
Kwahiyo kilichowashusha kagera ni head to head.
Acha upumbavu pitia kanuni za tff kama huelewi basi wewe na karia mmekalia akili zenu wenyewe
 
Azam wanayo hiyo system na ndiyo tuwaamn...livescore almost zote zinaenda sawa na Azam..TFF wapo tofauti..itakuwa wanafanya mambo yao manually
Basi jamaa wapo kizamani sana, wazee wa manually. Basi hata ukiwauliza msimu mzima jumla ya kadi za njano na nyekundu zilizotoka huenda hata hawajui
 
G
Goal difference zinafanana...ukienda kwenye head to head stand ana advantage as alimfunga kagera 3-1 kaitaba na shinyanga ilikua 1-1...kwa mantiki hiyo kagera anashuka
Goal difference hazifanani, Kagera -10 na Stand -12, hivyo Azam wako sahihi. Stand anashuka moja kwa moja.
 
Weka kanuni tuone!
Kagera wakajifunze kucheza ligi nzima sio mechi mbili tu za Simba. Nyambaff zao na huko wakashuke hadi daraja la mwisho.
Pole mkuu.
Mchana huu TFF wamekiri kukosea. Wameirejesha kagera ligi kuu ila itapambana na Mwadui. Standi kashuka moja kwa moja.
Tatizo kwa bodaboda fc lipo pale pale
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…