bioto
JF-Expert Member
- Oct 1, 2017
- 1,261
- 2,097
- Thread starter
- #41
SEHEMU YA THELATHINI NA TANO
STORY NA: Mbogo Edgar
ILIPOISHIA SEHEMU YA THELATHI NA
NNE: Hapa wakumsaidia Rose ni
matrida peke yake, ndie takae eleza
ukweli au kuupindisha ukweli, aliwaza
Joyce huku ana tafuta namba ya
Matrida kwenye simu yake, lakini kabla
ajaipiga akakumbuka kuwa aliibiwa
simu kwenye tukio ilo, hivyo akaona
chamsingi ni kesho kwenda kituoni
akamsalimie Rose ili wapange namna
ya kumshawishi Matrida amsaidie
kumtoa kwenye matatizo hayo……….
endelea …..
Maana aliamini kuwa Matrida anaweza
kuwa upande wao, akujuwa kuwa
Matrida amesha pewa ushawishi wa
nguvu, na kumgeuka Rose.******
Naam saa moja na nusu, Kipanta akiwa
kwenye kitanda chake, kwenye kile
chumba cha wangojeao, akishuhudia
pilika pilika za bwana Side alie kuwa
anakamilisha malipo yake, ili aondoke
zake, na ata alipomaliza mida ya saa
mbili na nusu, Kipanta akamwona yule
askari wa jana yani bwana Mikana, ana
kuja kumchukuwa Side, “samahani
kijana nakuomba mala moja” alisema
bwana Kipanta akimwita Mikana,
ambae alimsogelea, “mimi nicaptain
Kipanta” alijitambulisha Kipanta, huku
akitaja kikosi alicho fanyia kazi, kabla
aja staafu, lakini akusema kama
amesha staafu, “unajuwa jana nilikuwa
na kutazama sana, naona mbona kama
ninakufananisha” alisema Mikana
akionyesha kumfahamu bwana Kipanta,
“tulikuwa wote sudani mwakajana”
alikumbusha Mikana, “ok! kijana sasa
mimi nina tatizo kidogo” alisema
Kipinta, na kuanza kumsimulia Mikana
yaliyo mkuta, huku akificha baadhi ya
mambo ikiwa ni kutlekeza familia, “yani
yule demu amekomba kila kitu mpaka
card yangu ya benk, amenikwamisha
kila kitu” alilalamika Kipanta
akimsukumia zambi Rose mary, “sasa
nime kwama fedha ya kulipia matibabu,
na uhakika nikitoka hapa ninapata fedha
yangu, maana yule Malaya amesha
kamatwa na polisi” alisema Kipanta
akionyesha kuwa anaitaji msaada,
“sasa afande mbona hiyo ni inshu
ndogo sana” alisema Mikana, na
kuanza kumpa msaada wa kiutaratibu,
na kitu cha kufanya, ili kuondoka pale
hospital, “kwahiyo inabidi niwaone polisi
ili wao waende wakaniombee msaa wa
mkpo wa matibabu?” aliuliza Kipanta,
kwa sauti ya kuto kuamini, alicho
ambiwa, “tena ata humu usinge ingia,
ungekuwa umesha toka” alisema
Mikana, na hapo wakaagana na Mikana
akaondoka na bwana Side.*****
Naam usiku ulikuwa mfupi sana kwa
upande wa Stellah na Pross, walijikuta
wana hamka, saa mbili asubuhi,
wakiwa wamechoka kweli kweli, ni
baada ya kuvurugana usiku kucha
wakirudia tendo mala kazaa, huku
wakisindikizia kwa wine, mpaka
walipopitiwa na usingizi pasipo wao
kujuwa ilikuwa saangapi, bahati nzuri
Stellah alisha andaa supu, ya nguvu,
kwaajili yao, maana alisha juwa kuwa
kuna kazi ngumu usiku ule, ni kweli
baada ya kuoga, walipata supu, wakiwa
nusu uchi, maana walijuwa chochote
kina weza kutokea muda wowote, ni
kweli baada ya kumaliza kupata supu
na kuona nguvu zime warudia,
wakaangusha madafu kazaa pale pale
sebuleni, hakika kama Kipanta ange
shuhudia, jinsi kijana alie mwajili kama
mlinzi wa shamba la hawara yake Rose,
yani kijana Pross, anavyo jiachia na mke
wake, nazani ange lia hadharani.
Saa tatu na nusu, ndio muda ambao
Pross na Stellah waliachana maeneo ya
stendi pale kibamba hospital, ambapo
Pross alipanda gari kuelekea mbezi,
ikiwa ni safari ya kuelekea kisalawe,
huku Stellah akielekea kibamba ccm,
akiwa na mzigo mkubwa sana kwenye
gari lake, mzigo wa mabegi, sijuwi
alikuwa anaupeleka wapi.******
Nikweli mida hii tayari Polisi walisha
fika kwaajili ya kumchukuwa Kipanta, ili
waondoke nae, kueleka mahakamani,
lakini ikabidi aombe msaada wa
kuwaona ustawi wajimii, akieleza kuwa
kutokana na kuibiwa fedha na kadi ya
benk, asingeweza kulipia matibabu,
hivyo anaomba aluhusiwe kutoka, na
ataleta fedha akisha fanya utaratibu wa
kuchukuwa fedha kwenye account yake,
ni kweli kwa msaada wa insp
likafanyika ilo, na bwana Kipanta aka
achiwa, ili akashugulikie vitu vyake
vilivyo potea, ikiwa card yake ya benk,
na simu zake, ambazo pia alisema zime
ungwa kwenye Simu benk. japo yeye
mwenyewe alijuwa anacho kiongea
niuongo mtu, kama accont ilikuwa na
fedha na angeitoa fedha hiyo yeye
asinge bakia na fedha ata kidogo.
Sasa tatizo likaja lingine, ni kwamba
akuwa na nguo ya kuvaa, ata ondokaje
pale hospital na saa tano kamili
anatakiwa mahakamani, ambako Rose
alikuwa anasomewa shitaka lake, lakini
bahati ikawa upande wao, maana
wakati wanaanza kuwaza watapata
wapi japo nguo yoyote, mala
wakamwona askari wa suma JKT
ambao wanausika na ulinzi pale
hospital, akijana huyu ambae alisha
pitia mafunzo JKT, aliemda moja kwa
moja kwa insp, na kumpigia salut,
“sahamani afande kuna inshu moja
hapa inabidi uitatue, kuna mama
mmoja amekuja na kuleta mabegi, sita
yanguo na viatu, anasema kuwa ni ya
huyu bwana Kipanta, tulimzuwia
kuyaacha, lakini ukweli aliyashusha
toka kwenye gari, na kuondoka zake
akidai kuwa akabidhiwe kipanta
mwenyewe” alisema yule askari, na
hapo insp akatabasamu kidogo, na
kumtazama Kipanta, “bwana Kipanta,
maelewano yako na mkeo yapoje?”
aliuliza insp ambae sasa alianza
kuingiwa na mshaka, pengine mke wa
bwana Kipanta anausika na swala lile
nasiyo mschana Rose, kama ilivyo
elezwa mwanzo, maana ata maelezo ya
Kipanta na Matrida yalipishana kidogo,
“afande ebu achana nae huyo mpuuzi
nita pambana nae nikitoka
mahakamani” alisema Kipanta ambae
akuwa ameelewa kinachoendelea, hapo
insp alicheka kidogo, maana kama
anejuwa kuwa ameletewa mabegi yake
pale basi asinge sema upuuzi wake,
“ok! naona shemeji amekuletea nguo,
twende ukabadiri, ili tuwai
mahakamani” alisema insp huku akiona
wazi kuwa ndoa ya bwana Kipanta
ilisha yumba asa kutokana na tabia za
mzee huyu.******
Naam mpaka Saa tano za asubuhi,
Kinta alikuwa ajafika eneo la
mahakama, hakimu aliingia
mahakamani, na kusoma shitaka
namba hiyo hiyo, linalohusu kesi ya
kuweka dawa kwenye kinywaji, na
kuiba, ambapo mshtkiwa akutakiwa
kujibu kitu sababu bado uchuunguzi,
ulikuwa unaendelea, kwa maana ya
kwamba ushidi ulikuwa auja kamilika,
hivyo kesi ika ailishwa mpaka siku saba
mbele, na Rose akaridishwa mahabusu,
na mpaka watu wanatoka pale
mahakamani, bado kipanta akuwa
ameonekana pale mahakamani.
upande wa Joyce aliona kuwa hii ndiyo
nafasi, ya kumwona Matrda, ili
wazungumze jinsi ya kumsasidia Rose,
na kumfanya atoke mahabusu mapema,
au kumaliza kesi ile, lakini alipo jaribu
kumuwai ili aongee nae juu ya swala
lile, Matrida akutaka ata kumsikiliza
Joyce, “Matrida unafahamu fika kuwa
Rose ajafanya hivyo, kwanini unataka
kumfanyia hivyo lakini” alilalamika
Joyce wakati Matrida anapanda kwenye
gari la mmoja wa rafiki zake walio
mshawishi kujipigia fedha kwa Rose,
huku baadhi ya watu wakimtazama
Joyce kwa mshangao, ukweli Joyce
alionekana akilitazama gari alilopanda
Matrida kwa macho, yaudhuni na
machungu, Joyce alilisindikiza mpaka
gari lile likaoweka kabisa, hapo watu
waliokuwepo pale walimwona Joyce
akifuta machozi, nakuanza kuondoka,
lakini akupiga hatua mbili, akashtuka
ameshikwa bega, “samahani dada
wewe ninani yake Rose?” alisikia sauti
tulivu yakike, Joyce kabla ajajibu,
akageuka na kumtazama alie uliza,
alikuwa ni mwanamke flani, ambe
ukiachilia uzuri wake, ila alionekana
kuwa mwanamke huyu, ni mtu mwenye
maisha mazuri, yule mwana mke akuwa
oeke yake alikuwa pamoja na watoto
wawili ambao walishikwa mikono na
mwanaume mmoja kwenue hasiri ya
Filipino.******
Hivi Kipanta alikuwa wapi na kwanini
akuonekana mahakani, ebu tufwatilie,
kwanza ilikung’amua, ilikuwa hivi,
baada ya kufika nyumbani kwake
Stellah, alisimamisha gari nje ya
nyumba, na kuingia chumbani kwake,
moja kwa moja akajirusha kitandani,
akihisi kuitaji kupumzika, alitamanik
kuchukuwa simu yake ampgie Pross
amwulize kama amesha fika lakini
akaona kuwa kijana huyu atakuwa bado
yupo njiani, na wakati huo akaona
macho yanaanza kuwa mazito, lakini ile
anaanza kuisi macho mazito, mala
akasikia simu ina ita, akaitazama
namba ya mpigaji, akaona kuwa ni
namba ngeni, akaipokea na kuweka
sikioni, hallow ni mwalimu stellah hapa
nani mwenzangu” aliongea mwalimu
Stellah, yani demu wa Pross, “habari za
kazi mwalimu” ilisikika sauti ya kiume
pande wa pili, “nzuri, samahani lakini
ujajitambulisha wewe ni nani” alisema
Rose, ambae aliona kuwa ni sumbufu,
“ya mimi insp wa polisi, nilisha kutafuta
sana, lakini atukufanikiwa, na
tumepishana kidogo sana, hapa
hospital, namba uje mala moja
utusaidie katika maelezo ya bwana
Kipanta” ailiongea ile sauti ya upande
wapili, “samahani we baba, maelezo ya
huyo bwana nitoe mimi, wakati
sikuwanae huko kwenye uzinzi wake?”
aliuliza Stellah kwa sauti ya mshangao,
“sawa aukuwa nae, lakini wewe sindie
mke wake?” aliuliza insp, “ebu
mwulizeni kama ana mke ambae ni
mwalimu” alisema Stellah, ikibakia
kidogo akate simu, lakini kabla aja kata
simu akasikia asauti ya insp safari hii
ikiwa tofauti kidogo, “sasa mama ni
hivi, hii ni amri, unaitajika hapa hospital
kwa mahojiano, maana wewe ndie ule
leta nguo hapa hospital na kusababisha
mshtuko kwa bwana Kipanta, na hivi
tunavyo kuambia, amerudishwa wodini,
kwa huduma za kwanza, ili kumrejesha
fahamu, “sahamani sijuwi kaka au
sijuwi mwanangu, kuna utaratibu wa
kumwita mtu kuja kutoa maelezo, ya
kipolisi, na na katika miito hiyo akuna
wito wa simu, lakini sawa ninakuja
kukueleza juu ya hizo nguo, japo nilisha
mweleza toka jana kuwa ninge mletea
leo asubuhi” alisema Stellah huku
anainuka toka kitandani na kuelekea nje
akipitia funguo mezani, “usumbufu tu
angejuwa mwenzie nilivyo choka”
alijinung’unisha Stellah, wakati anatoka
nje.*****
Pross mala baada ya kuingia kwenye
dala dala, ya kibamba mbezi, ghafla
ikamjia kumbu kumbu ya mwana dada
Rose, mwanadada ambe amewonyesha
upendo wa ghafla, na kisha kutoweka,
pasipo simu wala kuja kumtembealea
tena, japo akujuwa kama kule alikotoka
pengine ange tembelewa na Rose,
aliamini kuwa kama angekuwa anaenda
kule shambani, ange mpigia simu,
“alinidang’anya kuwa anaenda kutafuta
mfanyakazi alafu mimi nikakae kwake
anisomeshe” aliwaza Pross, ambae
ukiachilia ahadi za Rose yeye akuwa na
mpango nazo, kikubwa alitokea
kumpenda sana Rose kuliko Stellah,
ambae aliamini kuwa penzi lao lisinge
kuwa huru, na kujionyesha mbele za
watu, kama vile ambavyo wange fanya
na Rose, japo alitambuwa kuwa Rose ni
mpenzi wa boss wake, ila aikumpa
shida sababu Rose alisha jieleza kuwa
alikuwa kwa Kipanta kulipiza kisasi.
PPross aliwaza mengi juu ya Rose, na
ukimya wake, mpaka alipokuwa
anaingia mbezi stendi, ndipo
akakumbuka siku iliyopita, alimwona
mtu anae fanana na baba yake pale
mbezi, akapanga kuwa makini sana leo,
kutazama kama ange mwona, na
pengine ange jaribu kwenda kumwuliza
kama anamfahamu bwana Vitus Feruz,
lakini mpaka anaingia kwenye basi la
gongola mboto akuweza kumwona yule
mtu, na basi likaondoka kuelekea
barabara ya malamba mawili, lakini
wakiwa wanakatiza kwenye kile kidaraja
cha kwenda malamba, ndipo Pross
alipo waoana watu kadhaa wenye
madumu kama yale aliyo mwona nayo
yule mzee wajana, wakiwa wanachota
maji ya mtoni na kupandisha nayo,
barabara ya zamani, lakini alipotazama
vizuri akumwona yule alie fanana na
baba yake, Pros akapotezea mawazo
hayo, na safari ikaendelea, huku
mawazo mchanganyiko yakimjia
kichwani, kwanza juu Rose pili juu ya
mwanamama Stellah, ana pata ujasiri
wa kuvua nguo mbele yake.********
Insp alikuwa nje ya chumba cha
wagonjwa wa dharula, akionekana
kutingwa na amambo yaliyokuwa
yanaendelea, Insp alikumbuka kauri ya
bwana Kipanta kuwa “huyo mwana mke
achana nae, nitaenda kupambana nae
nikitoka mahakamani” sasa basi
kichekesho pale walipo enda kutazama
hizo nguo alizo ambiwa ameletewa, ile
kipanta kuona mabegi sita, hapo hapo
akaonekana analegea, na kosa polisi
mmoja kumdaka, basi ange jibwaga
chini vibaya sana, akiwa amesha zimia,
na wakamkimbiza kule emrgence
kwenda kupata huduma ya kwanza.
Hapo ndipo insp alipoisi kilio msibu
bwana Kipanta, ni kwamba alikuwa
amefukuzwa nyumbani kwa mke wake,
na kwamba licha ya kustaafu, huyu
bwana akuwa na pakuishi, ndipo alipo
alipo amua kumwita mke wa Kipanta, ili
ajaribu kumshawishi amsamehe huyu
bwana ambae mapaka sasa asinge
weza kwenda mahakamani….
STORY NA: Mbogo Edgar
ILIPOISHIA SEHEMU YA THELATHI NA
NNE: Hapa wakumsaidia Rose ni
matrida peke yake, ndie takae eleza
ukweli au kuupindisha ukweli, aliwaza
Joyce huku ana tafuta namba ya
Matrida kwenye simu yake, lakini kabla
ajaipiga akakumbuka kuwa aliibiwa
simu kwenye tukio ilo, hivyo akaona
chamsingi ni kesho kwenda kituoni
akamsalimie Rose ili wapange namna
ya kumshawishi Matrida amsaidie
kumtoa kwenye matatizo hayo……….
endelea …..
Maana aliamini kuwa Matrida anaweza
kuwa upande wao, akujuwa kuwa
Matrida amesha pewa ushawishi wa
nguvu, na kumgeuka Rose.******
Naam saa moja na nusu, Kipanta akiwa
kwenye kitanda chake, kwenye kile
chumba cha wangojeao, akishuhudia
pilika pilika za bwana Side alie kuwa
anakamilisha malipo yake, ili aondoke
zake, na ata alipomaliza mida ya saa
mbili na nusu, Kipanta akamwona yule
askari wa jana yani bwana Mikana, ana
kuja kumchukuwa Side, “samahani
kijana nakuomba mala moja” alisema
bwana Kipanta akimwita Mikana,
ambae alimsogelea, “mimi nicaptain
Kipanta” alijitambulisha Kipanta, huku
akitaja kikosi alicho fanyia kazi, kabla
aja staafu, lakini akusema kama
amesha staafu, “unajuwa jana nilikuwa
na kutazama sana, naona mbona kama
ninakufananisha” alisema Mikana
akionyesha kumfahamu bwana Kipanta,
“tulikuwa wote sudani mwakajana”
alikumbusha Mikana, “ok! kijana sasa
mimi nina tatizo kidogo” alisema
Kipinta, na kuanza kumsimulia Mikana
yaliyo mkuta, huku akificha baadhi ya
mambo ikiwa ni kutlekeza familia, “yani
yule demu amekomba kila kitu mpaka
card yangu ya benk, amenikwamisha
kila kitu” alilalamika Kipanta
akimsukumia zambi Rose mary, “sasa
nime kwama fedha ya kulipia matibabu,
na uhakika nikitoka hapa ninapata fedha
yangu, maana yule Malaya amesha
kamatwa na polisi” alisema Kipanta
akionyesha kuwa anaitaji msaada,
“sasa afande mbona hiyo ni inshu
ndogo sana” alisema Mikana, na
kuanza kumpa msaada wa kiutaratibu,
na kitu cha kufanya, ili kuondoka pale
hospital, “kwahiyo inabidi niwaone polisi
ili wao waende wakaniombee msaa wa
mkpo wa matibabu?” aliuliza Kipanta,
kwa sauti ya kuto kuamini, alicho
ambiwa, “tena ata humu usinge ingia,
ungekuwa umesha toka” alisema
Mikana, na hapo wakaagana na Mikana
akaondoka na bwana Side.*****
Naam usiku ulikuwa mfupi sana kwa
upande wa Stellah na Pross, walijikuta
wana hamka, saa mbili asubuhi,
wakiwa wamechoka kweli kweli, ni
baada ya kuvurugana usiku kucha
wakirudia tendo mala kazaa, huku
wakisindikizia kwa wine, mpaka
walipopitiwa na usingizi pasipo wao
kujuwa ilikuwa saangapi, bahati nzuri
Stellah alisha andaa supu, ya nguvu,
kwaajili yao, maana alisha juwa kuwa
kuna kazi ngumu usiku ule, ni kweli
baada ya kuoga, walipata supu, wakiwa
nusu uchi, maana walijuwa chochote
kina weza kutokea muda wowote, ni
kweli baada ya kumaliza kupata supu
na kuona nguvu zime warudia,
wakaangusha madafu kazaa pale pale
sebuleni, hakika kama Kipanta ange
shuhudia, jinsi kijana alie mwajili kama
mlinzi wa shamba la hawara yake Rose,
yani kijana Pross, anavyo jiachia na mke
wake, nazani ange lia hadharani.
Saa tatu na nusu, ndio muda ambao
Pross na Stellah waliachana maeneo ya
stendi pale kibamba hospital, ambapo
Pross alipanda gari kuelekea mbezi,
ikiwa ni safari ya kuelekea kisalawe,
huku Stellah akielekea kibamba ccm,
akiwa na mzigo mkubwa sana kwenye
gari lake, mzigo wa mabegi, sijuwi
alikuwa anaupeleka wapi.******
Nikweli mida hii tayari Polisi walisha
fika kwaajili ya kumchukuwa Kipanta, ili
waondoke nae, kueleka mahakamani,
lakini ikabidi aombe msaada wa
kuwaona ustawi wajimii, akieleza kuwa
kutokana na kuibiwa fedha na kadi ya
benk, asingeweza kulipia matibabu,
hivyo anaomba aluhusiwe kutoka, na
ataleta fedha akisha fanya utaratibu wa
kuchukuwa fedha kwenye account yake,
ni kweli kwa msaada wa insp
likafanyika ilo, na bwana Kipanta aka
achiwa, ili akashugulikie vitu vyake
vilivyo potea, ikiwa card yake ya benk,
na simu zake, ambazo pia alisema zime
ungwa kwenye Simu benk. japo yeye
mwenyewe alijuwa anacho kiongea
niuongo mtu, kama accont ilikuwa na
fedha na angeitoa fedha hiyo yeye
asinge bakia na fedha ata kidogo.
Sasa tatizo likaja lingine, ni kwamba
akuwa na nguo ya kuvaa, ata ondokaje
pale hospital na saa tano kamili
anatakiwa mahakamani, ambako Rose
alikuwa anasomewa shitaka lake, lakini
bahati ikawa upande wao, maana
wakati wanaanza kuwaza watapata
wapi japo nguo yoyote, mala
wakamwona askari wa suma JKT
ambao wanausika na ulinzi pale
hospital, akijana huyu ambae alisha
pitia mafunzo JKT, aliemda moja kwa
moja kwa insp, na kumpigia salut,
“sahamani afande kuna inshu moja
hapa inabidi uitatue, kuna mama
mmoja amekuja na kuleta mabegi, sita
yanguo na viatu, anasema kuwa ni ya
huyu bwana Kipanta, tulimzuwia
kuyaacha, lakini ukweli aliyashusha
toka kwenye gari, na kuondoka zake
akidai kuwa akabidhiwe kipanta
mwenyewe” alisema yule askari, na
hapo insp akatabasamu kidogo, na
kumtazama Kipanta, “bwana Kipanta,
maelewano yako na mkeo yapoje?”
aliuliza insp ambae sasa alianza
kuingiwa na mshaka, pengine mke wa
bwana Kipanta anausika na swala lile
nasiyo mschana Rose, kama ilivyo
elezwa mwanzo, maana ata maelezo ya
Kipanta na Matrida yalipishana kidogo,
“afande ebu achana nae huyo mpuuzi
nita pambana nae nikitoka
mahakamani” alisema Kipanta ambae
akuwa ameelewa kinachoendelea, hapo
insp alicheka kidogo, maana kama
anejuwa kuwa ameletewa mabegi yake
pale basi asinge sema upuuzi wake,
“ok! naona shemeji amekuletea nguo,
twende ukabadiri, ili tuwai
mahakamani” alisema insp huku akiona
wazi kuwa ndoa ya bwana Kipanta
ilisha yumba asa kutokana na tabia za
mzee huyu.******
Naam mpaka Saa tano za asubuhi,
Kinta alikuwa ajafika eneo la
mahakama, hakimu aliingia
mahakamani, na kusoma shitaka
namba hiyo hiyo, linalohusu kesi ya
kuweka dawa kwenye kinywaji, na
kuiba, ambapo mshtkiwa akutakiwa
kujibu kitu sababu bado uchuunguzi,
ulikuwa unaendelea, kwa maana ya
kwamba ushidi ulikuwa auja kamilika,
hivyo kesi ika ailishwa mpaka siku saba
mbele, na Rose akaridishwa mahabusu,
na mpaka watu wanatoka pale
mahakamani, bado kipanta akuwa
ameonekana pale mahakamani.
upande wa Joyce aliona kuwa hii ndiyo
nafasi, ya kumwona Matrda, ili
wazungumze jinsi ya kumsasidia Rose,
na kumfanya atoke mahabusu mapema,
au kumaliza kesi ile, lakini alipo jaribu
kumuwai ili aongee nae juu ya swala
lile, Matrida akutaka ata kumsikiliza
Joyce, “Matrida unafahamu fika kuwa
Rose ajafanya hivyo, kwanini unataka
kumfanyia hivyo lakini” alilalamika
Joyce wakati Matrida anapanda kwenye
gari la mmoja wa rafiki zake walio
mshawishi kujipigia fedha kwa Rose,
huku baadhi ya watu wakimtazama
Joyce kwa mshangao, ukweli Joyce
alionekana akilitazama gari alilopanda
Matrida kwa macho, yaudhuni na
machungu, Joyce alilisindikiza mpaka
gari lile likaoweka kabisa, hapo watu
waliokuwepo pale walimwona Joyce
akifuta machozi, nakuanza kuondoka,
lakini akupiga hatua mbili, akashtuka
ameshikwa bega, “samahani dada
wewe ninani yake Rose?” alisikia sauti
tulivu yakike, Joyce kabla ajajibu,
akageuka na kumtazama alie uliza,
alikuwa ni mwanamke flani, ambe
ukiachilia uzuri wake, ila alionekana
kuwa mwanamke huyu, ni mtu mwenye
maisha mazuri, yule mwana mke akuwa
oeke yake alikuwa pamoja na watoto
wawili ambao walishikwa mikono na
mwanaume mmoja kwenue hasiri ya
Filipino.******
Hivi Kipanta alikuwa wapi na kwanini
akuonekana mahakani, ebu tufwatilie,
kwanza ilikung’amua, ilikuwa hivi,
baada ya kufika nyumbani kwake
Stellah, alisimamisha gari nje ya
nyumba, na kuingia chumbani kwake,
moja kwa moja akajirusha kitandani,
akihisi kuitaji kupumzika, alitamanik
kuchukuwa simu yake ampgie Pross
amwulize kama amesha fika lakini
akaona kuwa kijana huyu atakuwa bado
yupo njiani, na wakati huo akaona
macho yanaanza kuwa mazito, lakini ile
anaanza kuisi macho mazito, mala
akasikia simu ina ita, akaitazama
namba ya mpigaji, akaona kuwa ni
namba ngeni, akaipokea na kuweka
sikioni, hallow ni mwalimu stellah hapa
nani mwenzangu” aliongea mwalimu
Stellah, yani demu wa Pross, “habari za
kazi mwalimu” ilisikika sauti ya kiume
pande wa pili, “nzuri, samahani lakini
ujajitambulisha wewe ni nani” alisema
Rose, ambae aliona kuwa ni sumbufu,
“ya mimi insp wa polisi, nilisha kutafuta
sana, lakini atukufanikiwa, na
tumepishana kidogo sana, hapa
hospital, namba uje mala moja
utusaidie katika maelezo ya bwana
Kipanta” ailiongea ile sauti ya upande
wapili, “samahani we baba, maelezo ya
huyo bwana nitoe mimi, wakati
sikuwanae huko kwenye uzinzi wake?”
aliuliza Stellah kwa sauti ya mshangao,
“sawa aukuwa nae, lakini wewe sindie
mke wake?” aliuliza insp, “ebu
mwulizeni kama ana mke ambae ni
mwalimu” alisema Stellah, ikibakia
kidogo akate simu, lakini kabla aja kata
simu akasikia asauti ya insp safari hii
ikiwa tofauti kidogo, “sasa mama ni
hivi, hii ni amri, unaitajika hapa hospital
kwa mahojiano, maana wewe ndie ule
leta nguo hapa hospital na kusababisha
mshtuko kwa bwana Kipanta, na hivi
tunavyo kuambia, amerudishwa wodini,
kwa huduma za kwanza, ili kumrejesha
fahamu, “sahamani sijuwi kaka au
sijuwi mwanangu, kuna utaratibu wa
kumwita mtu kuja kutoa maelezo, ya
kipolisi, na na katika miito hiyo akuna
wito wa simu, lakini sawa ninakuja
kukueleza juu ya hizo nguo, japo nilisha
mweleza toka jana kuwa ninge mletea
leo asubuhi” alisema Stellah huku
anainuka toka kitandani na kuelekea nje
akipitia funguo mezani, “usumbufu tu
angejuwa mwenzie nilivyo choka”
alijinung’unisha Stellah, wakati anatoka
nje.*****
Pross mala baada ya kuingia kwenye
dala dala, ya kibamba mbezi, ghafla
ikamjia kumbu kumbu ya mwana dada
Rose, mwanadada ambe amewonyesha
upendo wa ghafla, na kisha kutoweka,
pasipo simu wala kuja kumtembealea
tena, japo akujuwa kama kule alikotoka
pengine ange tembelewa na Rose,
aliamini kuwa kama angekuwa anaenda
kule shambani, ange mpigia simu,
“alinidang’anya kuwa anaenda kutafuta
mfanyakazi alafu mimi nikakae kwake
anisomeshe” aliwaza Pross, ambae
ukiachilia ahadi za Rose yeye akuwa na
mpango nazo, kikubwa alitokea
kumpenda sana Rose kuliko Stellah,
ambae aliamini kuwa penzi lao lisinge
kuwa huru, na kujionyesha mbele za
watu, kama vile ambavyo wange fanya
na Rose, japo alitambuwa kuwa Rose ni
mpenzi wa boss wake, ila aikumpa
shida sababu Rose alisha jieleza kuwa
alikuwa kwa Kipanta kulipiza kisasi.
PPross aliwaza mengi juu ya Rose, na
ukimya wake, mpaka alipokuwa
anaingia mbezi stendi, ndipo
akakumbuka siku iliyopita, alimwona
mtu anae fanana na baba yake pale
mbezi, akapanga kuwa makini sana leo,
kutazama kama ange mwona, na
pengine ange jaribu kwenda kumwuliza
kama anamfahamu bwana Vitus Feruz,
lakini mpaka anaingia kwenye basi la
gongola mboto akuweza kumwona yule
mtu, na basi likaondoka kuelekea
barabara ya malamba mawili, lakini
wakiwa wanakatiza kwenye kile kidaraja
cha kwenda malamba, ndipo Pross
alipo waoana watu kadhaa wenye
madumu kama yale aliyo mwona nayo
yule mzee wajana, wakiwa wanachota
maji ya mtoni na kupandisha nayo,
barabara ya zamani, lakini alipotazama
vizuri akumwona yule alie fanana na
baba yake, Pros akapotezea mawazo
hayo, na safari ikaendelea, huku
mawazo mchanganyiko yakimjia
kichwani, kwanza juu Rose pili juu ya
mwanamama Stellah, ana pata ujasiri
wa kuvua nguo mbele yake.********
Insp alikuwa nje ya chumba cha
wagonjwa wa dharula, akionekana
kutingwa na amambo yaliyokuwa
yanaendelea, Insp alikumbuka kauri ya
bwana Kipanta kuwa “huyo mwana mke
achana nae, nitaenda kupambana nae
nikitoka mahakamani” sasa basi
kichekesho pale walipo enda kutazama
hizo nguo alizo ambiwa ameletewa, ile
kipanta kuona mabegi sita, hapo hapo
akaonekana analegea, na kosa polisi
mmoja kumdaka, basi ange jibwaga
chini vibaya sana, akiwa amesha zimia,
na wakamkimbiza kule emrgence
kwenda kupata huduma ya kwanza.
Hapo ndipo insp alipoisi kilio msibu
bwana Kipanta, ni kwamba alikuwa
amefukuzwa nyumbani kwa mke wake,
na kwamba licha ya kustaafu, huyu
bwana akuwa na pakuishi, ndipo alipo
alipo amua kumwita mke wa Kipanta, ili
ajaribu kumshawishi amsamehe huyu
bwana ambae mapaka sasa asinge
weza kwenda mahakamani….