Kitunguu swaumu na upara

Inamaana unajitahidi kudhibiti uzee? Kubali tu bwana wewe!
 
nina miaka 29 nakipara kimeanza nywele zangu zambele zimeanza fifia@ wataalamu wa mambo nipen data
 
Chukua Magadi kijiko kimoja weka kwenye maji nusu lita kisha pasha moto hadi uone povu, Baada ya maji kupoa chukua kitambaa kilowanishe kwenye maji hayo yenye mchanganyiko na Magadi kisha anza kusugua kichwani (Sehemu yenye kipara)

Nimeamua kukusaidia, Sikutaka mambo ya PM.
 

Ni kweli vitunguu swaumu husaidia ukuaji wa nywele na hata wahindi hutumia sana hii pale ambapo nywele zao zikikatika. Lakini kuwa makini sana na uwingi wa kitunguu chako kwenye nywele na usikae nacho sana kwenye ngozi kitunguu swaumu huunguza ngozi kikitumika kingi na ukitumia kwa muda mrefu kwenye ngozi.
Pia unaweza tumia olive oil na castor oil hukuza nywele kwa haraka na huzifanya ziwe imara zisikatike.
I hope utaona mabadiliko.[emoji4]
 
kwa hvyo mkuu kitumike kiasi gani kitunguu ?
 
mkuu olive oil na castor oil vipimo vyake vinaakuwaje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…