Kitunguu swaumu na upara

Kitunguu swaumu na upara

mkuu mimi nywele zangu zinaanza kufifia kwa mbali kama manyoya sina upara totaly kama cha mkuu wa nchi hii....
sasa mimi nataka nizikuze ziwe nene
Kila la kheri mkuu, ila nakukumbusha tena, Kipara hakizuiliki, labda ukafanye kama Rooney
 
Vip tips feedback mkuu mana nami kinaninyemelea
 
Nimepata taarifa kutoka kwa bwana mmoja aniambia nitumie kitunguu swaumu kwa kukiponda ponda kisha nisugue kwenye nywele zangu ambazo zimeanza kufifia kama upara kisha zitaanza kurudi.

Nipo kwenye dozi hapa na kweli nikipaka nasikia hasa inaingia nahisi ndo inapenya zake ndani kwenda kurekebisha maoto.

Kama kuna mtu ashawahi tumia tofauti na hii tushare maujanja au kama kuna mtu naye nywele zake zinapotea basi namkaribisha tutumie.

Feedback muhimu
Mrejesho
 
Mim nlivojifungua nywele zilinyonyoka mbele.....nkaanza kupaka Mnyonyo oil..... nywele zangu zote zimerudi lbd uwe unapaka pia hiyo

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
Naendesha udadisi binafsi kwa wenye matatizo ya nywele;

Je kuna mtu amewahi kutumia mafuta yatokanayo na mbegu za maboga? Mbegu za maboga mixer na mnyonyo?
 
M
ikoje iyo mkuu
Mfano haya yana mafuta ya nyonyo na mafuta ya maboga. Au ukishindwa kuyapata [kwa Mbeya ni easy zaidi] tafuta mafuta ya maboga utachanganya mwenyewe na mafuta ya nyonyo kuyatumia katika nywele kwa muda huo, pamoja na kula mbegu za maboga
Sahili.net mafuta ya maboga.JPG
.
 
Back
Top Bottom