Kitunguu swaumu na upara

mkuu mimi nywele zangu zinaanza kufifia kwa mbali kama manyoya sina upara totaly kama cha mkuu wa nchi hii....
sasa mimi nataka nizikuze ziwe nene
Kila la kheri mkuu, ila nakukumbusha tena, Kipara hakizuiliki, labda ukafanye kama Rooney
 
Vip tips feedback mkuu mana nami kinaninyemelea
 
Mrejesho
 
Mim nlivojifungua nywele zilinyonyoka mbele.....nkaanza kupaka Mnyonyo oil..... nywele zangu zote zimerudi lbd uwe unapaka pia hiyo

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
Naendesha udadisi binafsi kwa wenye matatizo ya nywele;

Je kuna mtu amewahi kutumia mafuta yatokanayo na mbegu za maboga? Mbegu za maboga mixer na mnyonyo?
 
M
ikoje iyo mkuu
Mfano haya yana mafuta ya nyonyo na mafuta ya maboga. Au ukishindwa kuyapata [kwa Mbeya ni easy zaidi] tafuta mafuta ya maboga utachanganya mwenyewe na mafuta ya nyonyo kuyatumia katika nywele kwa muda huo, pamoja na kula mbegu za maboga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…