DogoWaNjombe
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 3,284
- 7,708
Daktari Dhamana wa Zahanati hiyo, Tamimu Hammad Saidi amesema "Zahanati inatoa huduma ya matibabu bure pamoja na chakula kwa mgonjwa atakaefika na kwa siku wagonjwa wanaopokelewa ni 70 na kuendelea."
Kwa Upande wake Mkuu wa Wilaya Kusini, Othuman Ali Maulid amesema upande wake wanajivunia kuwepo kwa Kituo cha Afya chenye hadhi ya Hospitali na kutoa huduma bure kwa Wananchi.
Chanzo: Torch Media