arkam mpogoro
Member
- May 20, 2025
- 20
- 10
Mama yangu ni mzanzibari baada ya kuiona hii post nikamuonyesha akasema " madaktari wa kizanzibari si madaktari, hamna lolote" 😁😁😁 na akaonelea aje kufanya matibabu ya kulipia huku Tanzania Bara.
Upo sahihi lakini sasa bias haitakiwi kuwa noticeable, kufikia kiasi cha wengine kuona waziwazi au tu kuwapuuzia maendeleo ya wengineMimi sisapoti kile chama ila hata mimi nikiwa na nafasi ya kupatia neema kundi fulani sehemu ya kwanza ni ile jamii nimetoka. Tupunguze unafiki kwenye mambo mengine, anzia kwa Lowasa,shule za bweni niza kitambo Monduli wakati wengine wanashangaa shule za kata. Rais atoke Moshi halafu hospital ya bure ikaanzie Sumbawanga?.
Suala la Afya sio la muungano, ZNZ matibabu bure katika hospitali za serikali tokea awamu ya Amani Abeid Karume.Siku Sa100 akijenga kituo cha afya kama hicho Sengerema huko njooni mniite 🐕 YAANI MZANZIBARI APELEKE MAENDELEO TANGANYIKA?
Matibabu bure znz katika hospitali za serikali haihusiana na Samia, hii ipo tokea Raisi Amani KarumeMama ajitahidi Kubalance kidogo mana Kanda ya Ziwa ndio inatoa Mkuu wa Nchi aisee
Nawakumbusha tena, ZNZ matibabu na chakula hospitalini ni bure tokea zamani, Ile sera ya ubwabwa inafanyakazi kitambo Huku.Upo sahihi lakini sasa bias haitakiwi kuwa noticeable, kufikia kiasi cha wengine kuona waziwazi au tu kuwapuuzia maendeleo ya wengine
Unapaswa kuwa makini sana unapoandika habari nyeti kama hii. Mara kituo cha afya mara zahanati. Which is which? Mwishowe utasema ni hospitali ya mkoa wa Kizimkazi.Wanahabari wametembelea Zahanati ya Kizimkazi iliyopo Mkunguni ambapo katika ziara hiyo wamejionea jinsi zahanati hiyo inavyofanya kazi na yenye hadhi ya hospitalI kubwa kutoka na kila huduma ya matibabu inapatikana.
Daktari Dhamana wa Zahanati hiyo, Tamimu Hammad Saidi amesema "Zahanati inatoa huduma ya matibabu bure pamoja na chakula kwa mgonjwa atakaefika na kwa siku wagonjwa wanaopokelewa ni 70 na kuendelea."
Kwa Upande wake Mkuu wa Wilaya Kusini, Othuman Ali Maulid amesema upande wake wanajivunia kuwepo kwa Kituo cha Afya chenye hadhi ya Hospitali na kutoa huduma bure kwa Wananchi.
Chanzo: Torch Media
Yaani hamna majitu yenye roho mbaya ,ubinafsi na ushetani kama haya majitu ya pwani yenye vichwa box na udumavu wa akili,we angalia tu lile li bibi kizee maushungi na mchepuko wake wenye mashavu yaliyoshuka ,lililokuwa na mshipa wa ngiri.Wanahabari wametembelea Zahanati ya Kizimkazi iliyopo Mkunguni ambapo katika ziara hiyo wamejionea jinsi zahanati hiyo inavyofanya kazi na yenye hadhi ya hospitalI kubwa kutoka na kila huduma ya matibabu inapatikana.
Daktari Dhamana wa Zahanati hiyo, Tamimu Hammad Saidi amesema "Zahanati inatoa huduma ya matibabu bure pamoja na chakula kwa mgonjwa atakaefika na kwa siku wagonjwa wanaopokelewa ni 70 na kuendelea."
Kwa Upande wake Mkuu wa Wilaya Kusini, Othuman Ali Maulid amesema upande wake wanajivunia kuwepo kwa Kituo cha Afya chenye hadhi ya Hospitali na kutoa huduma bure kwa Wananchi.
Chanzo: Torch Media