DogoWaNjombe
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 3,284
- 7,708
shee mkuu wa Kizimkazi😅🤣
Kumbe wewe dogo mchekeshaji na modo kweli ni kiazi ?@Evelyn SaltHuenda na huku tukafikiwa. Oktoba tunatikiiiiiiiiiiiiiiii
Yaani bure!!!,, Au sijasoma vizuri maandishi?? , ngoja nikanunue miwani mingine mupyaa 😂😂😭😭Wanahabari wametembelea Zahanati ya Kizimkazi iliyopo Mkunguni ambapo katika ziara hiyo wamejionea jinsi zahanati hiyo inavyofanya kazi na yenye hadhi ya hospitalI kubwa kutoka na kila huduma ya matibabu inapatikana.
Daktari Dhamana wa Zahanati hiyo, Tamimu Hammad Saidi amesema "Zahanati inatoa huduma ya matibabu bure pamoja na chakula kwa mgonjwa atakaefika na kwa siku wagonjwa wanaopokelewa ni 70 na kuendelea."
Kwa Upande wake Mkuu wa Wilaya Kusini, Othuman Ali Maulid amesema upande wake wanajivunia kuwepo kwa Kituo cha Afya chenye hadhi ya Hospitali na kutoa huduma bure kwa Wananchi.
Chanzo: Torch Media
KAKA ANGU KWANZA HABARI YAKO. SAMAHANI KAMA NMEKUKOSEA MKUU🇹🇿🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏Kumbe wewe dogo mchekeshaji na modo kweli ni kiazi ?@Evelyn Salt
Inachekesha lkn ndo ukweli wenyewe😎Siku Sa100 akijenga kituo cha afya kama hicho Sengerema huko njooni mniite 🐕 YAANI MZANZIBARI APELEKE MAENDELEO TANGANYIKA?
Mzanzibari hana muda wa kuwapa furaha watanganyika wakati ana kwao tayari! Na ana Rais wake 😔 sisi ndio hatuna Rais 😔 Sa100 akiharibu anaweza kuondoka akarudi kwaoInachekesha lkn ndo ukweli wenyewe😎
Mzanzibari mpaka akufikirie uliopo Buchosa sio leo mkuuCharity begins at home, Tunasubiri Icho Kituo pia huku Buchosa
Mama ajitahidi Kubalance kidogo mana Kanda ya Ziwa ndio inatoa Mkuu wa Nchi aiseeMzanzibari mpaka akufikirie uliopo Buchosa sio leo mkuu
KAKA ANGU MAISHA AMBAYO NMEISHI NA FAMILIA YETU KWENYE AWAMU YA TANO YALIKUA NA CHALLENGES KIBAO, TULIPOTEZA VITU VINGI IN SHORT KIFAMILIA SI MLAUMU MZEE WETU LA HASHA, AMEINGIA SAMIA ALIHAMDULILLAH TAKUWA MCHOYO WA FADHILA NIKI MCHUKIA MAMA SAMIA. INSHORT FAMILIA YETU ALIHAMDULILLAH SI MATAJIRI ILA MPAKA UNANIONA HAPA TAMBUA KUWA IT WAS NOT EASY MKUU MWANGA UNAONEKANA SASA. KIPINDI MNACHEKA SI TULILIA HAMKUTAKA KUTUFUTA MACHOZI SI TUMEANZA WALAU KUCHEKA MNATAKA TURUDI KULIA NO MKUU SI BUSARA KUMCHAGULIA MTU PA KUWEKA MAPENZI IWE MKE AU KITU CHOCHOTE HAIPENDEZI KUDHARAU MAAMUZI YA MTU MKUU, LEO WE UNMLAZIMISHA MTU AWE UPANDE WAKO MKUU KWA LAZIMA KWELI. SI SAWA MKUU....Kumbe wewe dogo mchekeshaji na modo kweli ni kiazi ?@Evelyn Salt
Wanahabari wametembelea Zahanati ya Kizimkazi iliyopo Mkunguni ambapo katika ziara hiyo wamejionea jinsi zahanati hiyo inavyofanya kazi na yenye hadhi ya hospitalI kubwa kutoka na kila huduma ya matibabu inapatikana.
Daktari Dhamana wa Zahanati hiyo, Tamimu Hammad Saidi amesema "Zahanati inatoa huduma ya matibabu bure pamoja na chakula kwa mgonjwa atakaefika na kwa siku wagonjwa wanaopokelewa ni 70 na kuendelea."
Kwa Upande wake Mkuu wa Wilaya Kusini, Othuman Ali Maulid amesema upande wake wanajivunia kuwepo kwa Kituo cha Afya chenye hadhi ya Hospitali na kutoa huduma bure kwa Wananchi.
Chanzo: Torch Media