BLACK MOVEMENT
JF-Expert Member
- Mar 11, 2020
- 4,548
- 11,901
Ni wajinga ndio wanaweza shangilia huu ujinga, haiwezekani kijengwe the so called kituo cha biashara na asilimia 100 ya products hapo ni kutoka nje na tunaona ni sawa kabisa tena tunashangilia na kushangilia kabisa kwamba sasa maisha yatakuwa rahisi sana.
Ni sawa na Kariakoo pale na hivyo vituoa tunavyo shangilia ndio vinakuja kuu moja kwa moja viwanda hata vile vya SIDO, yaani hatutakuwa na hata viwanda vya sido tena make wachina watakuwa wanatutengenezea vitu kama hivyo vya sido na kutuletea.
Leo hii zile sendo za kimasai zile za culture tiyali wachina wanafyatua China na kutuletea, zile culture za kuvaa mikononi Wachina wanafyatua China na kutuletea na tunashangilia sana.sisi tunashangilia kwa sababu tuna akili fupi sana.
Huwezi jenga kituo cha Biasbara ndani ya nchi yako na hicho kituo kikawa na kituoa cha kuchuuza products za nje, hii ni kufilisika kimawazo kwa Watanzania na majukwaani utasikia Tanzakia ya Viwanda unakuja.
Tuendelee kuwakuzia wachina uchumia wao na hapo hapo tunawaponda na kulalamika kwamba wanauza bidhaa bei che wakat sisi ndio tunawatengenezea mazingira hayo.
Crativities nchi hii zinaenda zikiisha na miaka 10 ijayo tutakuwa tunaongea rugha moja na wachina ili anagalau watuajir8 hata kutafasiri, hizo ndii akili zetu.