Kariakoo huu mziki lazima muucheze!!! Mlizoea kutuibia sasa wizi wenu umefika mwisho!!!
Mnaendekeza vijana wahuni eti mnawaita MAWINGA wanatupiga cha juu mpaka jasho!! Sasa basiii
Kwa ufupi watanzamia sio waadililifu katika biashara tuna tanguliza tamaa wizi utapeli na wivu, kwa hili mkuu nakuunga mkono kwa 100%. Wantanzania wanajificha kwenze uzalendo kuumiza watanzania wenzao hawana huruma wanapenda kubebwa na serikali wakati wao hawawezi kubeba wateja wao......Uganda na Kenya wanaishi wao wameanza kushindana na wa Hindi na wa China kwenye bishara na viwanda bila kubebwa na serikali wa China wengi wanakimbilia Tanzania kwasbb raia wengi wa tanzania wamezoea vitu vya bila ushindani vya bure.Ha ha ha ha ha poleni sn kwa makasiriko. Hivi hamjui km uchumi wa Tz ni wa SOKO HURIA (zingatia maneno SOKO HURIA).
Mnalalamika juu ya biashara, mbona Tz imekubali kuwafundisha watu wake lugha ya KICHINA kuanzia msingi (kwa shule za kimataifa) hadi vyuo vikuu wakati hata lugha yao ya KWAHILI tu hawajui. Hivi kati ya elimu na biashara kipi kina madhara hasi kwa jamii.
Je mnadhani kwa janja janja ya wafanya biashasha wa Tz ya kuchakachua thamani ya bidhaa, kupandisha bei kiholela, kutopenda kulipa kodi stahiki, kuweka migomo kila wakati, hilo soko litakuwepo. Hapa shida ni tabia za Watanzania wenyewe ndo zinapelekea serikali kuwa na maamuzi magumu. Mtanzania anaweza kukuuzia kitu cha elf 20 kwa elfu 50 maana hutanguliza tamaa mbele kuliko kutoa huduma. Mfano, dunia kwa sasa ni Kijiji sababu ya kukua wa teknolojia, bidhaa unaagiza tu kwenye basi inakufikia popote ulipo tena free delivery, sasa kwa Wabongo huu umekuwa ugonjwa, ukiwasiliana na mfanya biashara akutumie bidhaa mikoani kuna kuwa na uwezekano mkubwa wa kulizwa hasa akishapokea pesa. Wakati mwingine atakutumia bidhaa ambayo haikuwa kwenye matangazo yake.
Watanzania wanataka maisha rahisi bila kujali nani anafanya biashara. Mataifa km Uganda baada ya kuruhusu Wachina kufungua maduka yao KAMPALA wananchi sasa hivi ni kicheko ingawa kwa wafanya biashara wenyeji ni kilio. Huwezi kiniuzia bidhaa bei kubwa kwa sababu tu ya UZALENDO, wakati wapo wenye uwepo wa kuniuzia bidhaa hiyohiyo kwa bei nafuu. Haya ni maisha siyo mchezo wa kuigiza, kila mtu atambe pande zake.
Hizi fikira za kukataa ngozi nyeupe ndo zimeyanfa nchi nyingi za Africa ikiwemo Tz kuugulia umaskini wa kutupwa. Nchi zote zilizofukuza wakoloni kwa kigezo cha KUJITAWALA na UZALENDO wa kuthamini cha kwetu pekee leo ndo wanaishi chini ya dola moja kwa siku Tz ikiwa kinara ikifuatiwa na Zimbabwe nk. Lakini nchi zilizoona umuhimu wao na kuwaacha kuendelea kuishi na kuwekeza japo kwa mashariti leo pato la Taifa na mtu mmoja mmoja liko juu. Mfano South Africa.
Km kariskoo pekee wameshindwa kuindesha kwa weredi, wataweza Ubungo. Yani pale Kariskoo wafanya biashara wamejaza MAWINGA kila sehemu ya maduka yao, na hao ndo wanawaumiza Watanzania kwa kuwapandishia bei huku wenye maduka wakikenua meno. Kariskoo haina tofauti na stand za mabasi kulikojaa wapiga debe, na hawa wamekuwa wakiwaumiza abiria kwa kuwapandishia bei. Sasa kwenye nchi ya watu wastaarabu huu ujinga hapo.
Tukubali tukatae kumuamini Mtanzania ktk biashara ni sawa na kununua mbuzi kwenye gunia. Leo wanatafuta huruma kwa serikali, lakini kesho wakikabidhiwa soko tu WANANCHI hawa hawa watarudi kulalamika.
Saidi: BANDOKITITA
Hapo haziuzwi bidhaa toka China tu, hata sendo zako kimasai unaweza kuuza pale, kachukue maduka pale ufanye biashara acha kulalamika.Ni wajinga ndio wanaweza shangilia huu ujinga, haiwezekani kijengwe the so called kituo cha biashara na asilimia 100 ya products hapo ni kutoka nje na tunaona ni sawa kabisa tena tunashangilia na kushangilia kabisa kwamba sasa maisha yatakuwa rahisi sana.
Ni sawa na Kariakoo pale na hivyo vituoa tunavyo shangilia ndio vinakuja kuu moja kwa moja viwanda hata vile vya SIDO, yaani hatutakuwa na hata viwanda vya sido tena make wachina watakuwa wanatutengenezea vitu kama hivyo vya sido na kutuletea.
Leo hii zile sendo za kimasai zile za culture tiyali wachina wanafyatua China na kutuletea, zile culture za kuvaa mikononi Wachina wanafyatua China na kutuletea na tunashangilia sana.sisi tunashangilia kwa sababu tuna akili fupi sana.
Huwezi jenga kituo cha Biasbara ndani ya nchi yako na hicho kituo kikawa na kituoa cha kuchuuza products za nje, hii ni kufilisika kimawazo kwa Watanzania na majukwaani utasikia Tanzakia ya Viwanda unakuja.
Tuendelee kuwakuzia wachina uchumia wao na hapo hapo tunawaponda na kulalamika kwamba wanauza bidhaa bei che wakat sisi ndio tunawatengenezea mazingira hayo.
Crativities nchi hii zinaenda zikiisha na miaka 10 ijayo tutakuwa tunaongea rugha moja na wachina ili anagalau watuajir8 hata kutafasiri, hizo ndii akili zetu.
Jidanganye, pale kariakoo asilimia 99 ya products ni za njeHapo haziuzwi bidhaa toka China tu, hata sendo zako kimasai unaweza kuuza pale, kachukue maduka pale ufanye biashara acha kulalamika.
Kwahiyo ukiandika kiingereza ndo utaonekana unajua maswala ya kodi??Sio kosa lako, hujui definition ya kodi ya nchi yetu na nini maana ya ajira binafsi, infact you look very low in understanding what is economy..!!
Mwanzoni walidanganya kuwa kituo hicho kitatumika kusafirisha bidhaa za TZ kwenda nje ya nchi na kupokea bidhaa pia toka China na kuuza nchini na nchi jirani.
Kinachofanyika sasa hivi, Kituo cha Biashara cha Ubungo hao wachina wanaleta bidhaa zao tu toka China to Tz, na bidhaa za low quality na wanauza kwa bei chini ya Kkoo na hii itaenda ua kabisa biashara Kkoo, hii ni hatari, Serikali ihakikishe Kituo cha Biashara cha Ubungo kitumike kuuza bidhaa zetu nje ya nchi na kupokea pia bidhaa kutoka nje ya nchi na bidhaa zenye ubora na kwa bei sahihi ili Kkoo isije kufa kabisa, tutapoteza ajira binafsi nyingi mnoooo
Pitia post namba #28Hicho kituo kwakweli hakikutakiwa kuwepo yaani hata wazo la kukijenga hatukutakiwa kuwa nalo kwa nchi changa kama hii.
Hicho kituo kwakweli hakikutakiwa kuwepo yaani hata wazo la kukijenga hatukutakiwa kuwa nalo kwa nchi changa kama hii.
Sio kwamba idea behind ilo jengo ilikuwa lije liwe kama Mall ambapo wawekezaji na wafanya biashara kote ndan na nje ya nchi watakodi vyumba na kufanya biashara zao au ku showcase product zaoKulitakiwa kuwepo bidhaa zetu tu, tunazozizalisha hapa nchini ili kuwauzia mataifa mengine.
Hii Maana yake hatuna sababu kuwalaumu Wachina kujenga kituo cha biashara ubungo. It’s free world mzee, it’s free trade.Jidanganye, pale kariakoo asilimia 99 ya products ni za nje
Hilo ndilo lengo kuu la ujenzi wa hicho kituo, kusogeza bidhaa toka china karibu, safari za china zitapungua.Ni wajinga ndio wanaweza shangilia huu ujinga, haiwezekani kijengwe the so called kituo cha biashara na asilimia 100 ya products hapo ni kutoka nje na tunaona ni sawa kabisa tena tunashangilia na kushangilia kabisa kwamba sasa maisha yatakuwa rahisi sana.
Kwani bidhaa za Karikoo zinatoka wapi kama sio China, safari za waTZ kwenda china zimewapa fursa waChina kusogeza bidhaa zao hapa, ni kama pale Kenya kuna China Square.Kinachofanyika sasa hivi, Kituo cha Biashara cha Ubungo hao wachina wanaleta bidhaa zao tu toka China to Tz, na bidhaa za low quality na wanauza kwa bei chini ya Kkoo na hii itaenda ua kabisa biashara Kkoo,
Tanganyika parks=Tanganyika packers.Hakuna aliye katazwa kuzalisha bidhaa na kuuza kama wafanyavyo Wachina,tujilaumu kwa upumbavu wetu,Mchina hana kosa lolote mbona ndo walio jenga kiwanda Cha Urafiki pale Ubungo na tukakiua kwa upumbavu wetu,Leo hii kiwanda Cha Tanganyika parks...