Hapa ni kwa Kituo cha Daladala cha "Kwa Yusuph" kilichopo Mbezi (Morogoro Road) kwa sasa kimegeuka kuwa stendi ya magari makubwa (malori) yanayosimama kwa ajili ya kupakia abiria pamoja na gari ndogo zinazosafirishwa kwenda mikoan na nchi jiran, (IT) bila kusahau mabas kwa nyakari za usiku.
Hii barabara ina njia 3 ila cha kusikitisha ukipita nyakati za usiku magari yanasimama hovyo na kusababisha usumbufu mkubwa, kwani badala ya njia 3 inabaki kutumika moja tu, na nina uhakika kabisa mamlaka wanalijua hili na wamelifumbia macho.