Kituo cha Demokrasia (TCD) chaahirisha mkutano wa Maridhiano hadi Aprili 4, 2022

Kituo cha Demokrasia (TCD) chaahirisha mkutano wa Maridhiano hadi Aprili 4, 2022

Quinine

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2010
Posts
22,227
Reaction score
49,628
DE7F24BC-0A16-4F58-BA06-AAC9A251EEF8.jpeg
 
Hawa chawa wa ccm wanataka kufunika kombe mwanaharamu apite!

hawa ndio nani hadi wawe ndio wanaandaa agenda?

Wametumwa na nani? walichaguliwa na nani?

walioathirika na utawala wa ccm ndio walikuwa wanatakiwa tuwaone hapa na sio hawa ambao hatujui hata watokako na hatujawahi hata kuwasikia ktk historia ya nchi hii.
 
Hata modality ya mkutano huo pia ni lazima ibadilike

Mwangwi na kishindo cha CHADEMA hakiwezi kuyaacha mambo kubaki vilevile

CHADEMA tunawaaminia. Nyie ndiye sauti ya watanzania wasio na sauti (voiceless) kwa sasa
Chadema watahudhuria huoni nembo yao kwenye tangazo!
 
labda wana jambo la msingi lakini inawezekana pia wanataka kujitoa kwenye lawama maana chadema wamegoma kushiriki hivyo ni vema kuweka mambo sawa na chadema kwanza ili kupunguza malalamiko yasiyo ya lazima..

kama lengo ni hilo mimi naunga mkono hoja yao
 
Ili kupisha mkutano maalum wa tar 1 April?
 
labda wana jambo la msingi lakini inawezekana pia wanataka kujitoa kwenye lawama maana chadema wamegoma kushiriki hivyo ni vema kuweka mambo sawa na chadema kwanza ili kupunguza malalamiko yasiyo ya lazima.. kama lengo ni hilo mimi naunga mkono hoja yao
Umesoma sababu ya kuahirisha? Labda kama hilo lengo liko nyuma ya pazia.
 
Nadhani wanapisha kusubiri kupata maamuzi na maelekezo Wenye shamba kikako 1St April
 
Back
Top Bottom