Kituo cha Demokrasia (TCD) chaahirisha mkutano wa Maridhiano hadi Aprili 4, 2022

Maridhiano nakumbuka CHADEMA ndio waliomba, cha kushangaza Zitto na wenzake wa Ccm B ndio wana shadidia bila kujua maridhiano ya Chadema yalikuwa nini
 
Zitto anataka kuplay smart. Alianza na kesi ya Mbowe kuhusu msamaha ili apate credit. Sasa anataka aitwe baba wa maridhiano. Wakati ACT imepoteza mbunge kwa kupigwa risasi na yupo kimya.
 
Back
Top Bottom