Kituo cha Demokrasia (TCD) chaahirisha mkutano wa Maridhiano hadi Aprili 4, 2022

Hawa chawa wa ccm wanataka kufunika kombe mwanaharamu apite!

hawa ndio nani hadi wawe ndio wanaandaa agenda?

Wametumwa na nani? walichaguliwa na nani?

walioathirika na utawala wa ccm ndio walikuwa wanatakiwa tuwaone hapa na sio hawa ambao hatujui hata watokako na hatujawahi hata kuwasikia ktk historia ya nchi hii.
 
Hata modality ya mkutano huo pia ni lazima ibadilike

Mwangwi na kishindo cha CHADEMA hakiwezi kuyaacha mambo kubaki vilevile

CHADEMA tunawaaminia. Nyie ndiye sauti ya watanzania wasio na sauti (voiceless) kwa sasa
Chadema watahudhuria huoni nembo yao kwenye tangazo!
 
labda wana jambo la msingi lakini inawezekana pia wanataka kujitoa kwenye lawama maana chadema wamegoma kushiriki hivyo ni vema kuweka mambo sawa na chadema kwanza ili kupunguza malalamiko yasiyo ya lazima..

kama lengo ni hilo mimi naunga mkono hoja yao
 
Ili kupisha mkutano maalum wa tar 1 April?
 
Umesoma sababu ya kuahirisha? Labda kama hilo lengo liko nyuma ya pazia.
 
Nadhani wanapisha kusubiri kupata maamuzi na maelekezo Wenye shamba kikako 1St April
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…