Zito, mbatia, shibuda sio wa kuwaamini kabisa.Ukiona jambo ndani yake kuna Zitto usiliamini sn
Ongesa na MremaZito, mbatia, shibuda sio wa kuwaamini kabisa.
Wapo kwaajili ya kuvuruga mchakato wa katiba mpya.
Mwisho wake utakuwa mbaya sana, ajifunze kwa Sabaya wakikuchoka.Zitto kwenye ubora wake wa kutumika na watawala
Anachowaza ni pesa tu yeyeMwisho wake utakuwa mbaya sana, ajifunze kwa Sabaya wakikuchoka.
Zitto yeye anatumika wala hajui kinachoendeleaMaridhiano nakumbuka CHADEMA ndio waliomba, cha kushangaza Zitto na wenzake wa Ccm B ndio wana shadidia bila kujua maridhiano ya Chadema yalikuwa nini
Chadema watahudhuria huoni nembo yao kwenye tangazo!
Ongesa na Mrema
Maridhiano nakumbuka CHADEMA ndio waliomba, cha kushangaza Zitto na wenzake wa Ccm B ndio wana shadidia bila kujua maridhiano ya Chadema yalikuwa nini