Kituo cha Discovery Channel kimebadilika kutoka Elimu hadi Burudani za kuhadaa

Kituo cha Discovery Channel kimebadilika kutoka Elimu hadi Burudani za kuhadaa

Mambo hubadilika siku hizi nimehamia national geographic angalau kidogo kuna vitu
Dr. Jill Tiefenthaler bado anaishi fikra pevu za kina Gardiner Greene Hubbard, na mzee baba Alexander Graham Bell program zao bado ni šŸ”„ šŸ”„ šŸ”„
 
Deep Wreck Mysteries
Mysteries at The Museum
Deadly 60

Bado vipindi vya mzee David Attenborough kama Planet Earth, The Blue Planet, etc.
 
Deep Wreck Mysteries
Mysteries at The Museum
Deadly 60

Bado vipindi vya mzee David Attenborough kama Planet Earth, The Blue Planet, etc.
Vipindi timamu vipo Discovery+ ila hii Discovery Channel imekuwa mboga mboga kinyama
 
Ni mambo ya kawaida tu katika biashara. Ni lazima uendane na wakati au uwe obsolete! Ni Gen Z gani atakaa kuangalia kipindi cha kuelimisha sijui Ancient Egypt wakati ChatGPT inaweza kumpa jibu ndani ya sekunde nne? Hali hii haikuishia kwenye TV tu bali hata magazeti, radio na kwingineko. Kabla ya Shigongo kuingia na ujinga wake wa magazeti ya udaku, magazeti yalikuwa tofauti sana. Makala zilizoshiba. Uandishi makini...leo hii ni udaku tupu, uchawa na michezo basi. Ndicho watu wanataka. Hata hapa JF unafikiri ni sawa na zamani?

Ni mambo ya kawaida katika jamii!

Hata zile makala za Mwanahalisi na Raia Mwema sidhan kama zipo tena!
 
hii channel imenipotezea muda sana pamoja na animal planet,ghafla nashangaa animal planet wanaingiza kipindi cha kutibu mapaka ya kufuga,nikajua tayari shughuli imeshaingia morani.
 
Back
Top Bottom