Nitasema matukio machache yasiyo ya kiweledi ninayoyashuhudia kwenye runinga mubashara.
Jumatatu alikuza picha ya wadada walioonekana wamesuka dreads na aliwekeza muda mwingi kuwamulika.
Kwa mujibu wa mafundisho ya kisabato,hawakubali wanawake kusuka nywele.
Alifanya hivyo ili iweje? Kuwaaibisha watu hao bila kujali ni wageni ama wasabato? Au kuitangazia dunia kuwa na sisi tunao wanaosuka?
Hapo hapo mchungaji akihubiri alijinasibu eti aliwahi kuambiwa na muislam kwamba yule muislam angekuwa hajaoa angeoa msabato kwa kuwa wasichana wa kisabato wana uasili.
Tukio jingine ni jinsi alivyommika na kuikuza picha yake tumwone vizuri mwimbaji aliyekuwa anaonekana sura yake kuathirika na vipodozi hatari.
Hata hivyo niliona alishaacha na ngozi ilikuwa kwenye kupona.Niliona vibaya kumfanya mtu yule wa Mungu kama sanaa ya maonesho huku yeye hajui maskini,na alimwimbia Mungu kwa furaha tu.
Hadi nione ni muhuni ni pale aliporudia rudia kumzoom mama wa watu! Sio sawa.
Leo tena naoma anawamulika kinamama wanaoonekana wana sinzia.Na kamera imeganda muda mrefu kwa watu hap wa Mungu waliojisikia amani na utulivu hadi wakasinzia,kitu ambacho huenda hawakipati nyumbani.
Mimi ninaishi sehemu ambayo inapiga muziki mkubwa hadi saa 11 alfajiri kwa nini nikipata sehemu ya utulivu nisipitiwe na usingizi hata kidogo?
Sio sawa kuwaanika watu wa Mungu kiasi hicho.
Tukio lolote lisilo la kawaida au linaloonesha kutoendana na mafundisho ya kisabato lazima lipewe attention na huyu mpiga picha.
Wapelekeni shule acheni kuajiri kindugu ndugu ili kuepusha upuuzi kama huo