Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimemmisimo shemeji![emoji1]Nimependa swali la mtu wa Arusha
Mpigiemo kasimuNimemmisimo shemeji![emoji1]
Hivi kaka bado hajasafiri jamani?[emoji17]Mpigiemo kasimu
Tunasafiri nae next weekend tunaenda kupumzika kidogoHivi kaka bado hajasafiri jamani?[emoji17]
Tunasafiri nae next weekend tunaenda kupumzika kidogoHivi kaka bado hajasafiri jamani?[emoji17]
Acha kupindisha maana ya swali langu[emoji17] ,mimi nauliza ni lini kaka anasafiri na akuache peke yako nyumbani?Tunasafiri nae next weekend tunaenda kupumzika kidogo
Bado sana labda tukianza kuzeeka ndio tutakuwa tunaachanaAcha kupindisha maana ya swali langu[emoji17] ,mimi nauliza ni lini kaka anasafiri na akuache peke yako nyumbani?
[emoji17][emoji17][emoji17]Bado sana labda tukianza kuzeeka ndio tutakuwa tunaachana
Kwaiy unatak tujue kuw umekiona wayback au co wabongo kwa kujikweza ahahMay be, ila Mara ya kwanza kukiona nilicheka sana
Mtu akisema ukweli inamaanisha anajikweza? Wabongo bwanaKwaiy unatak tujue kuw umekiona wayback au co wabongo kwa kujikweza ahah
Daa unafaa kuajiliwa na Nyambali Nyangwine kuandaa vitabu vya maswali na majibuKITUO CHA KUULIZA MASWALI YA KIFALA 1- NA WEWE ULIZA LAKO
i. Shilingi 1000/-ni bei gani?- Kisa wa Mbeya
JIBU:Ndugu yangu swali lako zuri sana, uchumi kwa kuwa umepanda na wewe chukua ngazi uufwatie hukohuko maana ukiwa juu alfu ni kama shilingi 900/- lakini ukiwa chini bei ya alfu ni shilingi 600/-
ii. Niko chuoni nasomea unesi, je unadhani nikimaliza shule nitaweza kufanya kazi gani?- Nene wa Kondoa
JIBU: Ukimaliza utakuwa polisi
iii. Je Iringa kubwa kuliko Tanzania?- Magnus wa mafinga
JIBU: Ni wazi wewe ni Mnyalu, ndio Iringa kubwa kuliko Marekani. Angalia kwenye ramani ya Australia utakuta Iringa kaskazini inapakana na Mexico
iv. Je ni kweli binadamu wana miguu miwili?- El Murieti wa Arusha
JIBU: Huo ni uwongo unaoenezwa na wapinzani, tafadhali usidanganyike. Miguu ya kawaida ina binadamu wawili
v. Nimejiangalia kwenye kioo sikujiona, niko wapi?- Chausiku wa Kisarawe
JIBU: Kioo hicho kitakuwa kibovu, si unajua wachina kila kitu wanaleta feki. Kifupi saa hizi uko ahera
vi. Diamond Platnumz ameacha Ubunge wa Chunya?- Fusu wa Kinondoni
JIBU: Diamond ni Mbunge wa kudumu wa bunge la Senegal, aliacha Ubunge wa Chunya kutokana na tatizo la kupatwa kwa jua
vii. Ukichanganya instagram na whatsapp unapata nini?- Stela wa Ostabei
JIBU: Unapata Google, jamani maswali mengi ni ya kitoto mno muwe mnajijibu wenyewe
viii. Nilikuwa macho lakini nikaota nahamia Dodoma, maana yake nini?- Mwanasiasa wa Kagera
JIBU: Maana yake utafungwa kwa wizi wa michango ya serikali za mtaa
x. Naweza kupiga mswaki na brash ya viatu?- Vanga- Geita
JIBU: Bahati mbaya hukutaja kabila lako, lakini kwa uhakika kabila lenu mtafukuzwa hapa nchini muda si mrefu.
Ha ha ha .Bado sana labda tukianza kuzeeka ndio tutakuwa tunaachana
Bila shaka ; Kumbuka hata yeye alivyomwalika rasi wa morko, alimuomba amjengee bahar ya mkra domya, na hata hivyo huko ndiko atahamia ili akajfunze kuogelea mpra, lakini na wewe hivi hili swal gani kwani hili ni swali la kijinga?Naitwa CHUMA ULETE kutoka Mafinga Iringa
Nasikia Mfalme wa Tanzania ndg Pombe Lissu anahamia nyumbani kwake Kenya,swali ni je bado atakuwa na madaraka ya kifalme kwa nchi yake ya chato?
cheka sasa! unasubir nn?Mbona mm sijacheka