Mphamvu
JF-Expert Member
- Jan 28, 2011
- 10,702
- 3,319
Kwanza® ni taasisi iliyosajiliwa Jijini Dar es Salaam inayoundwa na wahitimu wa masomo ya Lugha kutoka Chuo Kikuu cha Dar es Salaam. Wao hutoa huduma mbalimbali zinazohusu lugha kwa gharama nafuu. Huduma wanazotoa ni pamoja na:-
Wasiliana nao:
mphamvudaniel@gmail.com
+255713049852
+255719462232
+255787641747
- Kuhariri na kuhakiki kazi na makala andishi - za kitaaluma na kiofisi katika KIswahili na Kiingereza
- Kutafsiri matini mbalimbali andishi, Kiswahili - Kiingereza.
- Kufundisha lugha, Kiswahili na Kiingereza kwa wanafunzi wa ngazi tofauti.
- Kuhariri na kuhakiki miswada ya kifasihi (Vitabu vya hadithi, nyimbo, mashairi na kadhalika)
- Kutoa huduma za ukalimani wa Kiswahili - Kiingereza katika shughuli mbalimbali.
Wasiliana nao:
mphamvudaniel@gmail.com
+255713049852
+255719462232
+255787641747