Kituo cha Lugha Kwanza®

Kituo cha Lugha Kwanza®

Mphamvu

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2011
Posts
10,702
Reaction score
3,319
Kwanza® ni taasisi iliyosajiliwa Jijini Dar es Salaam inayoundwa na wahitimu wa masomo ya Lugha kutoka Chuo Kikuu cha Dar es Salaam. Wao hutoa huduma mbalimbali zinazohusu lugha kwa gharama nafuu. Huduma wanazotoa ni pamoja na:-


  • Kuhariri na kuhakiki kazi na makala andishi - za kitaaluma na kiofisi katika KIswahili na Kiingereza
  • Kutafsiri matini mbalimbali andishi, Kiswahili - Kiingereza.
  • Kufundisha lugha, Kiswahili na Kiingereza kwa wanafunzi wa ngazi tofauti.
  • Kuhariri na kuhakiki miswada ya kifasihi (Vitabu vya hadithi, nyimbo, mashairi na kadhalika)
  • Kutoa huduma za ukalimani wa Kiswahili - Kiingereza katika shughuli mbalimbali.

Wasiliana nao:

mphamvudaniel@gmail.com

+255713049852

+255719462232

+255787641747
 
Tumeanza rasmi kutoa huduma,

10991355_782243958535697_4898254504340520683_n.jpg
 
Back
Top Bottom