Lord OSAGYEFO
JF-Expert Member
- Feb 19, 2021
- 3,085
- 4,890
Chanzo ni Magufuli, Bi samia ana kazi ya ziada.
Usimamizi unakuja na kuwaondoa hao wafanyabiashara wadogo,ama wawapange wakae humo kiutaratibuKama wanaosimamia wameshindwa kazi wapewe usaidizi
Tatizo sio wafanyabiashara wadogowadogo
Hao ukiwagusa kuna jambo litazungumzwa kuhusu wao na kulala kwa JPM.Kama wanaosimamia wameshindwa kazi wapewe usaidizi
Tatizo sio wafanyabiashara wadogowadogo
Dunia uwanja wa fujoViongozi wa kisiasa kufanya mambo kwa ajili ya kutafuta sifa matokeo yake ndio hayo,huwezi kuwaambia watu eti wafanye biashara kokote hiyo ni vurugu.
Hao ukiwagusa kuna jambo litazungumzwa kuhusu wao na kulala kwa JPM.
Tatizo la Marehemu Jiwe alitangaza kutengeza 'cult', yani awe kama mungu mtu. Na ili kulitimiza hili akatarget wale wa kipato cha chini sana na kijitwika utetezi hewa. Kutimiza dhamira yake alikwenda kinyume na mfumo wa kistaarabu ili tu aonekane anajali sana, alifnikiwa kupata wa kumuabudu lakini athari yake inakera wengi zaidi.
Leo hii kupita kariakoo ni tabu maana kumejaa wamachinga kila sehemu, ukija ilala boma barabara imekuwa soko la nyanya na vitunguu. Na hiyo stendi ya mabilioni ishakuwa kama tandika tayari, yote sababu ya kiumbe mmoja tu aliyetaka kuwa mungu na leo hayupo tena.
Tuacheni tutafte rizki jamaniKifupi mji wote mchafu barabarani wamejaa wamachinga na bidhaa zao wame tandika na kupanga barabarani mfano Kariakoo,posta,tegeta,mbagala Gongolamboto
Waende wakajifunze hata nchi za jiraniHakuna haja ya kuwagusa kama ina maana ya kuwaondoa
Ila ipo haja ya kutengeneza mfumo mzuri wa wao kuwepo kwa manufaa ya wote
Hakuna anaepinga kutafuta kwao rizki hivyo usipotoshe maudhui. Tatizo linakuja wanaitafuataje hiyo rizki. Ikiwa kila mmoja anatumia kigezo cha kutafuta rizki basi hata vibaka hawana makosa.Umeandika sanaaaaaaa kwanini hawa wamachinga wanakuumiza hivi?
Waache wenzio wapate rizki sababu nao wana mahitaji kama yako japo hawana kazi sawa na yako