Ile ni jukumu la Gvt kutoa huduma kwa jamii take kwa gharama nafuuInvestment ya 60B mnataka mlipe kodi ya laki na nusu kwa mwezi, unategemea huo mradi utarudisha lini hela?
Miaka michache ujayo wakishindwa kuendesha stend kwa uchafu na uchakavu bado mtarudi kuwasema wameshindwa, poor management sijui maneno gani
kwani sirikale inafanya biashara au inatoa huduma?Investment ya 60B mnataka mlipe kodi ya laki na nusu kwa mwezi, unategemea huo mradi utarudisha lini hela?
Miaka michache ujayo wakishindwa kuendesha stend kwa uchafu na uchakavu bado mtarudi kuwasema wameshindwa, poor management sijui maneno gani
Hilo jengo itakuwa nyumba ya popoHiv is this real au kuna errors zilifanyika?
Maskini ..... Nilishuka DODOMA STAND majira ya Saa 10 jioni.... stand ilikuwa zii.... hadi huruma...! Mwendazake nenda zako!Matatizo ya maendeleo ya vitu bila business plan!
This will remains white elephant indefinetely.
wamefikaje kwenye hizi hesabu? ama jiwe ndio aliwapa maelekezo?
maana sioni biashara za kuingiza pesa namna hii na faida ikawepo.
kwani pamekuwa 'Kalia-koo
Juzi nilifika pale kituoni nikamuona jamaa pale walipokaa abiria wanaosubiri anatoa MUHOGO toka kwenye BEGI akaanza kula na kunywa maji toka nyumbani. Ni kweli biashara za stendi za mabasi ni ndogondogo sana.36m frame kwa mwezi hata iwe investment gani hamna Kodi kama hyo kwa biashara za stand
Naomba kujua mkuu, hapo stendi ya jiwe pana gesti abiria wanaweza kulala, au mpaka ukasote mtaani?Hesabu hizo walizifikia
Juzi nilifika pale kituoni nikamuona jamaa pale walipokaa abiria wanaosubiri anatoa MUHOGO toka kwenye BEGI akaanza kula na kunywa maji toka nyumbani. Ni kweli biashara za stendi za mabasi ni ndogondogo sana.
Hapo ndani hakuna Guest House ila abiria naona wanalala hapo waiting lounge kama hawana alternative. Guest houses ziko nje na kuna umbali kidogo. Actually kituo bado haikijaisha bado kuna matengenezo yanaendelea kotekote.Naomba kujua mkuu, hapo stendi ya jiwe pana gesti abiria wanaweza kulala, au mpaka ukasote mtaani?