Kituo cha Mabasi Mwenge na Stendi ya Mabasi ya Mkoa Arusha

greater than

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2018
Posts
1,653
Reaction score
3,060
KITUO CHA MABASI MWENGE
  • Kipo chini ya manispaa ya Kinondoni
  • Ujenzi ulianza 1/7/2019 mpaka 30/11/2023
  • Ufadhili:fedha za ndani
  • Kitahudumuia : Daladala 100 na Bajaji 60 kwa wakati mmoja.
  • Gharama ya ujenzi : Billioni 15

Hongera sana Manispaa ya Kinondoni ,mmeonesha uthubutu.

STENDI YA MABASI YA MKOA ARUSHA
  • Chini ya Halmashauri ya Jiji la Arusha
  • Hakuna vyoo
  • Hakuna Ofisi wala sehemu ya kujikinga jua na mvua.
  • Mkakati wa stendi mpya umesuasua kwa zaidi ya miaka 10

Hapo Uongozi wa Jiji ujiskie aibu na kujitafakari sana....
Mh.Gambo, unazingua.
 
Mchawi wa stendi ya Arusha ni Mrisho Gambo, sijui anafaidika nini na stand ile mbovu, mkurugenzi akisema aanze ujenzi gambo anasema anakwamishwa, sijui anakwamishwa wapi,gambo atakapoondoka arusha maendeleo yatajongea.
Kwani Gambo si alikuta suala Ujenzi wa stendi mpya ....
 
Mbona Mbeya kulikuwa Sugu na stendi mpya ikatengewa eneo la eka kama 6...na wakaweka Pavements na taa ....
 
Serikali kuu haina mkono katika kujenga kituo cha Mwenge?
 
Mchawi wa stendi ya Arusha ni Mrisho Gambo, sijui anafaidika nini na stand ile mbovu, mkurugenzi akisema aanze ujenzi gambo anasema anakwamishwa, sijui anakwamishwa wapi,gambo atakapoondoka arusha maendeleo yatajongea.
Hawa watu wanaoitwa wakuu wa mikoa na wilaya hawana maaana yoyote kwenye uongozi wa nchi na wanatakiwa kuondolewa.
 
Hivi nyie watoto mna matatizo gani? Haibu ni nini? Mnapotakiwa kuweka h hamuweki, ati ela badala ya hela. Apa badala ya hapa. Mnaweka h ambapo hapatakiwi kuweka h. Mnaboa ujue
 
Hivi nyie watoto mna matatizo gani? Haibu ni nini? Mnapotakiwa kuweka h hamuweki, ati ela badala ya hela. Apa badala ya hapa. Mnaweka h ambapo hapatakiwi kuweka h. Mnaboa ujue
Eti na sio ati .
Mnakera na sio mnaboa .
Boa si neno la Kiswahili.
Na mwisho wa tungo yako, hakuna alama ya mitajo.

Sawa Ajuza!
 
Hivi nyie watoto mna matatizo gani? Haibu ni nini? Mnapotakiwa kuweka h hamuweki, ati ela badala ya hela. Apa badala ya hapa. Mnaweka h ambapo hapatakiwi kuweka h. Mnaboa ujue
Tupo kwenye nyakati za keyboards zenye auto-correct.Maneno yanabadilishwa bila kujua.
Unaweza mkumbusha mtu bila kuzodoa, mana wewe mwenyewe umeonesha ujinga wako.
 
Hivi nyie watoto mna matatizo gani? Haibu ni nini? Mnapotakiwa kuweka h hamuweki, ati ela badala ya hela. Apa badala ya hapa. Mnaweka h ambapo hapatakiwi kuweka h. Mnaboa ujue
Kiswahili kinachoandikwa nyakati hizi na hiki kizazi cha sasa kinatia kichefuchefu, hapo bado haujakuta kwenye R inawekwa L na kwenye L inapachikwa R
 
Ni aibu sana hii... Arusha ni miongoni mwa A-list cities in Tz ...but kuwepo kwa Makonda pale ni among mwa strategies za kufanikisha mambo kama haya na ni muhimu hiyo stand kupatikana mpya haswaa ukizingatia afcon itachezwa huko 2027 kwahyo kutakua na influx ya watu pia kwa wakat huo..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…