mwilongo Aron
Senior Member
- Oct 15, 2014
- 109
- 54
Uongozi wa mabasi yaendayo kasi DRT Mnaharibu heshima ya mradi na taswira ya serikali kwa utiririshaji wa maji machafu barabarani kuanzia mida ya saa 6:00 usiku Hadi saa 7:30 hivi.
Ukweli ni kuwa maji hayo yanayosambaa barabarani yananuka sana hasa upande wa kutokea mjini yaani upande wa kushoto. Maji haya yanaweza kusababisha magonjwa ya mlipuko..
Viongozi wa serikali kuanxia ngazi ya mtaa Hadi NEMC fuatilieni hii kero na ikiwezekana wapeni semina ya Utunzaji wa mazingira hawa watu.
Tanzania itaendelea kwa kushauriana kama hivi na si kuzodoana