Kituo cha Polisi Wilaya ya Butiama chajengwa kwa Tsh. Milioni 802, kukamilika Desemba 2023

Haleluiya
 
Taarifa zingine zimekaa kipotoshaji zaidi.

Kwamba jengo litakuwa Moja tuu?
 
Hahaha mi kijijini nilijenga mjengo mkali kuliko huo Kwa 28 m ila wabongo nyosooo
Mkuu hivi kituo cha polisi panakwepo na miundombinu zipi? Je umejiuliza kama fanitures nazo ni sehemu ya mkataba?
 
Hii Nchi Huwa Ina watu wajinga sana na wasiofikiri.

Ukiona hata majengo ya shule,zinakuja na Ramani lakini wakenzi Kila mtu anaweza anavyojiskia.

Hii tabia ni ya kipuuzi na ya kijinga , Serikali Huwa hamuoni haya?

Ndio Vituo vinajengwa kienyeji utadhani hakuna wasanifu.
 
Watakwambia wanaokoa pesa kwani pesa ya kumlipa msanifu ni ndefu sana.
 
KILA MTU ALE KWA KWA UREFU WA KAMBA YAKE..


Ndugu Behaviourist tunaomba kale ka clip ka watu wale kwa urefu wa kamba yake
 
Mill 800+

Wamegawana hizo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…