ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]We jamaa, hebu rudia tena; umesema kinajaa WATEJA, wanaenda kununua nini?
Kwani hujui pale nikwawafanya biashara pale Lazma muache hela pande zote 2We jamaa, hebu rudia tena; umesema kinajaa WATEJA, wanaenda kununua nini?
Mkuu hii kweli au chai tuIla Tunduru mtu anaweza toka nyumbani kwake akaingia ofisini kwa mtu akaaa tuu kitini kaja kusalimia na kuongea hata hamjuani.
Sure mkuu now npo uku hii Hali naiona sana tena wengi wamejaa kando ya barabara apa nje soko la madini wamejaa barabarani kama wanamuaga rais..Sijaelewa ni mentality ya raia tu kupenda kupelekana polisi kwa kesi hata ndogondogo au ni mazingira polisi wametengeneza ili kupiga hela kwa sababu haiwezekani asubuhi tu kituo kinajaa wateja zaidi ya 100 na ni kila siku mpaka inafikia hatua wanaitwa kwa foleni.
Mambo haya hayapo katika vituo vingine iwe ni masasi au Dodoma au Mtwara au Songea au Singida au Arusha au Dar ni hapo tu Tunduru naomba pachunguzwe kuna nini?
Kwani polisi wanaita watu wakajazane kituoni au watu wanapelekwa na shida zao.Hapo ni polisi wametengeneza mazingira ya kuabundiwa.