njumu za kosovo
JF-Expert Member
- Mar 9, 2017
- 3,820
- 9,625
Nimeiona hata mkuranga hii mimi imenishangaza yani vuup mtu anaweza akakueleza mambo yake ya ndani kabisa akiwa confontable kabisa yaniIla Tunduru mtu anaweza toka nyumbani kwake akaingia ofisini kwa mtu akaaa tuu kitini kaja kusalimia na kuongea hata hamjuani.