njumu za kosovo JF-Expert Member Joined Mar 9, 2017 Posts 3,820 Reaction score 9,625 Feb 1, 2022 #21 Myangu said: Ila Tunduru mtu anaweza toka nyumbani kwake akaingia ofisini kwa mtu akaaa tuu kitini kaja kusalimia na kuongea hata hamjuani. Click to expand... Nimeiona hata mkuranga hii mimi imenishangaza yani vuup mtu anaweza akakueleza mambo yake ya ndani kabisa akiwa confontable kabisa yani
Myangu said: Ila Tunduru mtu anaweza toka nyumbani kwake akaingia ofisini kwa mtu akaaa tuu kitini kaja kusalimia na kuongea hata hamjuani. Click to expand... Nimeiona hata mkuranga hii mimi imenishangaza yani vuup mtu anaweza akakueleza mambo yake ya ndani kabisa akiwa confontable kabisa yani
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Feb 1, 2022 #22 Chunguza vizuri...
Kilawo JF-Expert Member Joined Nov 15, 2016 Posts 1,631 Reaction score 2,778 Feb 3, 2022 #23 Born1703 said: Sure mkuu now npo uku hii Hali naiona sana tena wengi wamejaa kando ya barabara apa nje soko la madini wamejaa barabarani kama wanamuaga rais.. Click to expand... Mkuu upo nyumbani leo.
Born1703 said: Sure mkuu now npo uku hii Hali naiona sana tena wengi wamejaa kando ya barabara apa nje soko la madini wamejaa barabarani kama wanamuaga rais.. Click to expand... Mkuu upo nyumbani leo.
Living Pablo JF-Expert Member Joined May 17, 2020 Posts 3,549 Reaction score 10,995 Apr 15, 2022 #24 Kilawo said: Mkuu upo nyumbani leo. Click to expand... Npo bado chief nmeshuhudia mwenge ukipita na kujaza watu barabara ya stand kuu.
Kilawo said: Mkuu upo nyumbani leo. Click to expand... Npo bado chief nmeshuhudia mwenge ukipita na kujaza watu barabara ya stand kuu.