son of a teacher
JF-Expert Member
- Jul 30, 2017
- 695
- 1,817
satellite station na kituo cha mawasiliano ''radar'' karibu na beit shemesh nchini israel zimelipuliwa na kusababisha moto mkubwa kuwaka siku ya jana mara baada ya msururu wa makombora na drones kurushwa na jeshi la IRGCC.
Hali kadhalika pentagon wamethibitisha wanajeshi 140 wa usa wamejeruhiwa na makombora na drones za iran
View: https://youtu.be/hgm5E3Z7osA?si=3yN46sLwrgtqkBV6
Hali kadhalika pentagon wamethibitisha wanajeshi 140 wa usa wamejeruhiwa na makombora na drones za iran
View: https://youtu.be/hgm5E3Z7osA?si=3yN46sLwrgtqkBV6