son of a teacher
JF-Expert Member
- Jul 30, 2017
- 695
- 1,817
Wabongo hawataki ukweli,washazoea kudanganywaπWatasema umetumwa na mabeberu π€£π€£π€£π€£
Mara ohhh hiyo ni AI
Echolima1 kaka unaendeleaje hapo tel-aviv !? Bongo unarudi lini !?
Mtu na report anaiona kama hivyo lakini bado anapinga dahh bongo Kuna misukule sio Bure
Mbongo ukisha mbrain wash , Hata akitokea mtu kumwambia ukweli yupo radhi alambe maji ya betri kuliko kuuamini huo ukweliWabongo hawataki ukweli,washazoea kudanganywaπ
Tel Aviv ataisikia kwenye bomba tu hatoweza kufika maisha huyuπsahiz yupo kwenye kanisa lake anaongoza mazoezi ya kwaya kwa ajili ya jumapili ijayoWatasema umetumwa na mabeberu π€£π€£π€£π€£
Mara ohhh hiyo ni AI
Echolima1 kaka unaendeleaje hapo tel-aviv !? Bongo unarudi lini !?
Mtu na report anaiona kama hivyo lakini bado anapinga dahh bongo Kuna misukule sio Bure
ππ,mie nachokaga,maana kumuelewesha na akuamini ni KAZI sana,maana kashakariri.Mbongo ukisha mbrain wash , Hata akitokea mtu kumwambia ukweli yupo radhi alambe maji ya betri kuliko kuuamini huo ukweli
Wabongo baadhi Akili zao zinafunza ,
Kweli kabisaMbongo ukisha mbrain wash , Hata akitokea mtu kumwambia ukweli yupo radhi alambe maji ya betri kuliko kuuamini huo ukweli
Wabongo baadhi Akili zao zinafunza ,
Huyu kumbe ni mlokole Lia Lia ushabiki wake maandazi alionao Mimi nilidhania amewahi kufika huko tel-aviv ππ€£Tel Aviv ataisikia kwenye bomba tu hatoweza kufika maisha huyuπsahiz yupo kwenye kanisa lake anaongoza mazoezi ya kwaya kwa ajili ya jumapili ijayo
Huyu kumbe ni mlokole Lia Lia ushabiki wake maandazi alionao Mimi nilidhania amewahi kufika huko tel-aviv ππ€£
πππsi kaweka picha yake kwenye Avatar yake? Huoni kavaa kikristo!? Tel Aviv hajawahi kufika yeye ni shabiki maandazi hisia tu zimemjaa.Huyu kumbe ni mlokole Lia Lia ushabiki wake maandazi alionao Mimi nilidhania amewahi kufika huko tel-aviv ππ€£
Sindio π€£ππ,mie nachokaga,maana kumuelewesha na akuamini ni KAZI sana,maana kashakariri.
Aaghh na lile shati lake la kitenge !? π€£π€£π€£πππsi kaweka picha yake kwenye Avatar yake? Huoni kavaa kikristo!? Tel Aviv hajawahi kufika yeye ni shabiki maandazi hisia tu zimemjaa.
Kwenye ule uzi mkubwa wa updates za Hii vita sijaona hata Pro Israel mmoja anayetoa madini kama Pro Iran zaid ya mihemko tu akiwemo huyo Echolima,bora hata kwenye Uzi wa Ukraine na Urusi pro Ukraine waliokuwepo walikuwa wanatema nondo sana
Endeleeni kudanganyana kuwa Tel Aviv imeangamizwa wakati si kweli!!Watasema umetumwa na mabeberu π€£π€£π€£π€£
Mara ohhh hiyo ni AI
Echolima1 kaka unaendeleaje hapo tel-aviv !? Bongo unarudi lini !?
Mtu na report anaiona kama hivyo lakini bado anapinga dahh bongo Kuna misukule sio Bure
π€£Endeleeni kudanganyana kuwa Tel Aviv imeangamizwa wakati si kweli!!
Wa sikiliza tu Al Jazeera. Maana hata Jana wametoa taarifa Iran anaomba ceasefire maana kipigo kimezidi sana!!!π€£
Kwamba tuache kuwasikiliza aljazeera tukusikilize wewe !?
Wamarekani wanapenda kupigana vita mbali na nchi yao. Hawawezi kuanza armed conflict with a neighboring country. The risk is too high!Trump mwisho wake Iran tu !!
CUBA hafiki kule kabisa zaidi ya Vitisho tu..
Florida itawaka MOTO,