Kituo cha redio kimeweka wimbo usio na staha, nimekasirika maana nilikuwa na mtoto wangu

Kituo cha redio kimeweka wimbo usio na staha, nimekasirika maana nilikuwa na mtoto wangu

Ushimen

JF-Expert Member
Joined
Oct 24, 2012
Posts
40,828
Reaction score
99,523
Haya ni mambo ya kipu..avu sana...😠, Tena nimekasirishwa sana na hii radio station iliopiga hii nyimbo nikiwa na binti yangu kwenye mkebe..☹️. Yaani hawa mbwa wamesababisha nime disconnect kabisa mziki kwenye gari yangu..😕 shenzi type kabisa...😡

Mtoto anapenda carrot, alivyo wa moto amenipiga short​

 
Kwenye huu ulimwengu wasasa unatakiwa uwe na akili kubwa penda kuwa unafikiri kwa mbele kabla haijafika!. Utakuja nishukuru baadae.😂

Pole kwa mkasa bora ingalikuwa upo na mtoto wako wa kiume maredio ya sikuhizi tabu Sana manyimbo nayo utasikia ifinyie kwa ndani..🤣🤣
 
Utani utani iko siku unamkuta mtoto wako anauuimba tena kwa madaha kabisaaaa!!akiwa haelewi maana yake au anaelewa
 
Ukiwa na binti yako wewe msikilize Ally Kiba, yule jamaa anaimba kwa staha. Ukitoka W kwa Kiba wasikilize STAMINA.
Nitafanya hivyo mkuu....
Ingawa hapo awali nimekua nikisikiliza akina Le Wanyika, Lwambo Makiadi, Moses Balisidya, Kamanyonya na wanaofanana ha hao
 
Nikweli mkuu, nimeamua kukata kabisa waya na sasa reduo haipo tena kwenye mkebe wangu ..dadadeq nimewakomesha kabisa mbwa wale...😠
 
Mkuu, nimeamua kuitoa kabisa radio kwa gari...😡
utani utani iko siku unamkuta mtoto wako anauuimba tena kwa madaha kabisaaaa!!akiwa haelewi maana yake au anaelewa
 
Nyimbo siku hizi zinahamasisha anal sex na casual sex.
Yaani hili ni tatizo kubwa sana mkuu...
Kuna siku nilikua sehem nakata kiu, sasa ghafla nikasika wameweka nyimbo inaimba sijui nini...eeeehh kojolea ndani au mwagia kwa ndani...😕☹️
 
Yaani hili ni tatizo kubwa sana mkuu...
Kuna siku nilikua sehem nakata kiu, sasa ghafla nikasika wameweka nyimbo inaimba sijui nini...eeeehh kojolea ndani au mwagia kwa ndani...😕☹️
Wanaume wanaelezea jinsi gani wanapita rough road wanawake wanaelezea jinsi wanavyomwagiwa na wanasisitiza 'ukimwaga jaza ndoo'

Sielewi kwanini hakuna chujio la nyimbo za namna hii, marekani wimbo wenye maneno ya matusi wanatoa wa aina mbili ambao maneno yanakua censored huu utachezwa mida yote na ambao una maneno magumu utachezwa labda kwenye liveshow na usiku.

Mfano wimbo wa Akon na snoop unaitwa 'I wanna love you' huo ni clean version dirty version huo wimbo unaitwa 'I wanna fvck you. Enrique Iglesias ana wimbo unaitwa 'Tonight I'm Loving You' dirty version inaitwa 'Tonight I'm fvcking you'

Runaway wa Kanye West umekatwa maneno yote ya matusi for public consumption, same na You ain't know wa Lil Wayne. Mwana FA kua mjumbe wa Basata nilifikiri itasaidia.
 
Bora hata hivyo..

Ingekuwa unamsikiliza lulu diva akiimba..."naskia utamu,baby koleza"..huku amebana pua ndo ungeelewa.
 
Kama watoto wako ni wadogo wawekee video za nyimbo za wtt za kujifunza.

Mie nikiwa na watt garini naweka JJ mwanzo mwisho. Au animation kama Moana, frozen n.k
 
Back
Top Bottom