Gwanta
Member
- Apr 22, 2021
- 20
- 18
Kuna ingine saivi wanaimba...."nataka nikutoo nikutoo nikutoe kwenu nikulete kwangu..""nahamu yakutoo kutoa mahari[emoji14][emoji14][emoji14]. Yani shida tupu unaweza ukawaza vingine kabsa akilin mwakoHaya ni mambo ya kipu..avu sana...[emoji34], Tena nimekasirishwa sana na hii radio station iliopiga hii nyimbo nikiwa na binti yangu kwenye mkebe..[emoji3525]. Yaani hawa mbwa wamesababisha nime disconnect kabisa mziki kwenye gari yangu..[emoji53] shenzi type kabisa...[emoji35]
Mtoto anapenda carrot, alivyo wa moto amenipiga short