Nitafanya hivyo mkuu....Ukiwa na binti yako wewe msikilize Ally Kiba, yule jamaa anaimba kwa staha. Ukitoka W kwa Kiba wasikilize STAMINA.
Yaani hili ni tatizo kubwa sana mkuu...Nyimbo siku hizi zinahamasisha anal sex na casual sex.
Wanaume wanaelezea jinsi gani wanapita rough road wanawake wanaelezea jinsi wanavyomwagiwa na wanasisitiza 'ukimwaga jaza ndoo'Yaani hili ni tatizo kubwa sana mkuu...
Kuna siku nilikua sehem nakata kiu, sasa ghafla nikasika wameweka nyimbo inaimba sijui nini...eeeehh kojolea ndani au mwagia kwa ndani...πβΉοΈ
Pole sana.Ni radio station moja, imenikosea adabu pakubwa ..mbaf zao...[emoji34][emoji35]