Kituo cha redio kimeweka wimbo usio na staha, nimekasirika maana nilikuwa na mtoto wangu

Kuna ingine saivi wanaimba...."nataka nikutoo nikutoo nikutoe kwenu nikulete kwangu..""nahamu yakutoo kutoa mahari[emoji14][emoji14][emoji14]. Yani shida tupu unaweza ukawaza vingine kabsa akilin mwako
 
Mtoto anapenda carrot, alivyo wa moto amenipiga short[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Imekua ni mtihani kabisa kukaa sebuleni na watoto,nyimbo nyingi zikipigwa zinaweza kukuinua kitini ukakimbia sebule

Kingsmann
 
majuzi nilikua nimekaa ufukweni ! pembeni kulikua na watoto wa kama miaka 5/4 hivi wtatu wanacheza! ma binti wawili wakapita wamefungasha inye(traako) nkaanza kusikua madogo wanaimba "ana ngongingo wowowoo" tena kwa nguvu hahaaa!! nkasema kizazi jeuri hiki!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…