Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) Yasikitishwa na Matukio ya Utekaji na Kupotea kwa Watu Nchini

Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) Yasikitishwa na Matukio ya Utekaji na Kupotea kwa Watu Nchini

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,153
Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kinasikitishwa na kuendelea kwa matukio ya utekaji na kupotea kwa watu nchini. Tukio la hivi karibuni la kutoweka kwa Ndugu Humphrey Polepole na mengine yanayofanana nalo yanaibua maswali mazito kuhusu usalama wa wananchi na uwajibikaji wa vyombo vya dola.

Ni wakati Taifa letu liseme kwa sauti moja, vitendo vya utekaji vikome mara moja!

Lakini swali kubwa linabaki: Utekaji mpaka lini?
Soma taarifa kamili ya LHRC na ujiulize, wewe binafsi, unaliona vipi suala hili?

Soma Zaidi: LHRC: Tunalaani utekaji na kutelekezwa kwa Mwabili Mwagodi

1760425032516.png


1760425052199.png


1760425069999.png
 
Back
Top Bottom