Kituo cha siri cha kijeshi cha utafiti wa silaha za nyuklia cha Iran kilisambaratishwa shambulizi la mwezi uliopita la IDFS

Iran Wana vituo 33 sasa wewe tuseme umekipapasa kimoja tena ni darasa la wanafunzi pakujisomea nyie mnaweweseka hamujawahi Kutana na anga ngumu kama lile yaani linaanza kufyatua kuanzia mbali mpaka vinavyotarajia kupenya viko karibu na chini vinatunguliwa, mchezo mlikatishwa tamaa sana mkafundishwa namna 3 defence layers inafanya kazi
 
Hakuna sehemu hawajapiga hao "zibora"?Ina maana na vita imeisha na mazayuni yamekufilia mbali siyo?
 
Wafia dini mpo wapi?
 
Kwamba hata nyie hamjui mlishambulia nini? Hebu kuweni na msimamo mkishilia uongo mmoja komaeni nao huohuo.

Ukweli ni kuwa Israel ilipeleka zaidi ya ndege 100 kuishambulia Iran kwa masaa manne ila walifanikiwa kutungua embe moja tu lililokua juu ya mti.
 
Bado mnaleta habari za kusadikika hadi Sasa.
😂😂😂😂😂Aiseeee acheni propaganda zisizo na mashiko.
Si mlidai kinu Cha Isfahan mlikilipua!?
Bado hawajaridhika na kilichotokea Israel kuaibika, bado wanalazimisha kuonyesha Israel ilifanya mashambulizi makubwa.

Walikua wanahadithiwa kuhusu Iran sasa ukweli wameufahamu, Iran ni next level.
 
Bado mnaleta habari za kusadikika hadi Sasa.
😂😂😂😂😂Aiseeee acheni propaganda zisizo na mashiko.
Si mlidai kinu Cha Isfahan mlikilipua!?
Sheikh wangu hizi habari hazijakupendeza kabisa asilani. Uungwana ni kukubali kusikia usiyoyapenda Sheikh.
 
Nasikia jamaa akiamka kutoka shimoni anatoa kichwa kupiga mswaki na kunawa uso halafu anazama tena ndani ya shimo.
 
Wanakondoo hawana uwezo wa kupambanua mambo hivyo tuwaache tu
 
Bado hawajaridhika na kilichotokea Israel kuaibika, bado wanalazimisha kuonyesha Israel ilifanya mashambulizi makubwa.

Walikua wanahadithiwa kuhusu Iran sasa ukweli wameufahamu, Iran ni next level.
Where is Promise 3? Mtu mzima kaufyata! Hata picha haieleweki?
 
Sheikh wangu hizi habari hazijakupendeza kabisa asilani. Uungwana ni kukubali kusikia usiyoyapenda Sheikh.
Mie ni mtu ambaye huwa naongea kilichothibitika sio mfata mkumbo wala mihemko.
Mbona Israel ilipofanya shambulio la pager sikukataa!?
Mbona Israel ilipoua viongozi wa Hizbollah na Hamas nilisadikisha!?
Kwasababu ilithibitika hakukuwa na janja janja za taarifa.
Ila hili suala la Israel kuishambulia Iran lina janja janja za taarifa kila kukicha.
 
Where is Promise 3? Mtu mzima kaufyata! Hata picha haieleweki?
Afanye promise 3 kivipi?
Iran inaweza kumuua Netanyahu, hamjaifahamu Iran bado... Anga la Israel lipo wazi kwa Iran, Iran ikidhamiria itume hata missiles mbili tu kulenga Netanyahu alipo kwa usahihi mtasikia habari.

Trump leo kumuagiza Musk azungumze na Iran sio mchezo, wakubwa wameshafahamu capability na uwezo Iran walionao na hatari wanayoweza kuifanya mashariki ya kati.
 
Walishatuambia hiyo October why tena hii inakuja kama news ki kawaida habari ikishaletwa ndio basi tena ikirudiwa sio tena news inakuwa old au kumbukumbu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…