ITR
JF-Expert Member
- Sep 22, 2022
- 6,096
- 16,390
Utafiti wa silaha za nyukilia ni shughuli nyeti sana Iran hawezi kuufanya kihasara hasara ni lazima iwe sehemu nyeti na ngumu kuhatibiwa.Labda bado wako kwenye Stage ya Uranium Enrichment.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utafiti wa silaha za nyukilia ni shughuli nyeti sana Iran hawezi kuufanya kihasara hasara ni lazima iwe sehemu nyeti na ngumu kuhatibiwa.Labda bado wako kwenye Stage ya Uranium Enrichment.
Yaani wagaratia wengi wa hapa bongo ni wamejaa funza kichwani.Huyo mimi nilimu ignore kabisa.
Hana hoja zaidi ya udini huyo jamaa.
Hakuna la maana ataongea zaidi ya udini,mpuuzi usijishushe hadhi kujadili na mpumbavu.
Ww jamaa uko sawa kweli kichwani ?Kijeshi kaachwa kibogoyo, itamchukua miaka kadhaa kuimarika tena
Iran ni akil kubwa wazo la kuwa program za makombora yenye kupiga sehem yoyote uliyoitaka hakika waliifanya home work yao vizur walichagua kilichochema wao wakakomaa na mindege iyobeba hatari kubwa na gharama za kuindesha. Iran sio mjinga kila anachofanya cha maana lazima akichimbie ardhini ..ww utahangaika na vibanda vilivgopo hapo juu hutaambulia cha maanaBado hawajaridhika na kilichotokea Israel kuaibika, bado wanalazimisha kuonyesha Israel ilifanya mashambulizi makubwa.
Walikua wanahadithiwa kuhusu Iran sasa ukweli wameufahamu, Iran ni next level.
Iran wanafikiri miaka 100 ijayo na wanatumia akili yao viziri ..hawawezi kuweka vitu vya maana juu ya ardh kwa kifupi walijipanga has maana wanajua western wanapenda chokocho sana wakiona unaimarika kijeshaUtafiti wa silaha za nyukilia ni shughuli nyeti sana Iran hawezi kuufanya kihasara hasara ni lazima iwe sehemu nyeti na ngumu kuhatibiwa.
Wapo mbele ya muda...Iran ni akil kubwa wazo la kuwa program za makombora yenye kupiga sehem yoyote uliyoitaka hakika waliifanya home work yao vizur walichagua kilichochema wao wakakomaa na mindege iyobeba hatari kubwa na gharama za kuindesha. Iran sio mjinga kila anachofanya cha maana lazima akichimbie ardhini ..ww utahangaika na vibanda vilivgopo hapo juu hutaambulia cha maana
BBC walidai kuwa satellite images hazioneshi vizuri madhara ya shambulizi.
Leo hii wanakwambia kuwa nuclear site imeharibiwa.
Hapo hapo walidai nuke site za Iran ziko underground situated ngumu kufikia.
😂😂😂😂😂Which is which jamani!?
Umeambiwa ni kituo cha utafitiKule China tetemeko tu la ardhi lilisababisha kuvuja Kwa mionzi sembuse vilipuzi!?
Mie nimeongea kiujumla.Umeambiwa ni kituo cha utafiti
Makobazi ya Malinyi lazima yaje kutema mashuduNgoja yaje ma Iran ya Dumila yakujibu
Acha dharau na Dumila kwetu wewe Kwetu hakuna waarabu kuna wamasai tu.Ngoja yaje ma Iran ya Dumila yakujibu
Hahaha! Wamasai wengi wapo wami Dakawa hapo kwenu Dumila wapo wa Iran wakuchovya sio originalAcha dharau na Dumila kwetu wewe Kwetu hakuna waarabu kuna wamasai tu.
Halafu wenyewe wanajiona smart na specialYaani wagaratia wengi wa hapa bongo ni wamejaa funza kichwani.
Pumbavu mama yako...mngese wewe huwezi kuchangia bila kutukana?Hawa ni wapumbavu wa kiwango cha lami
Mpumbavu sio tusi,bali ni sifa ya mtu kujifanya anajua kumbe hajui.Pumbavu mama yako...mngese wewe huwezi kuchangia bila kutukana?
Yesu ni munguWe lana unaijua mwenye lana ni yule anasema Yesu ni Mungu, wewe ni mmoja wapo.
Mungu anapigwa na kuuawa!?😂😂😂😂dohYesu ni mungu
Labda tuiite Old news! au sio mkuu!?Walishatuambia hiyo October why tena hii inakuja kama news ki kawaida habari ikishaletwa ndio basi tena ikirudiwa sio tena news inakuwa old au kumbukumbu