Kituo cha siri cha kijeshi cha utafiti wa silaha za nyuklia cha Iran kilisambaratishwa shambulizi la mwezi uliopita la IDFS

Kituo cha siri cha kijeshi cha utafiti wa silaha za nyuklia cha Iran kilisambaratishwa shambulizi la mwezi uliopita la IDFS

Kijeshi kaachwa kibogoyo, itamchukua miaka kadhaa kuimarika tena
Ww jamaa uko sawa kweli kichwani ?
Yaani Hamas na Hizbullah tu mpaka sasa washambuliwa kwa malaki ya tani za mabomu na hawajaweza kuvunja mtandao wao wa silaha, alafu Iran ije idhohofishwe na kishambulizi uchwara kama kile?
 
Bado hawajaridhika na kilichotokea Israel kuaibika, bado wanalazimisha kuonyesha Israel ilifanya mashambulizi makubwa.

Walikua wanahadithiwa kuhusu Iran sasa ukweli wameufahamu, Iran ni next level.
Iran ni akil kubwa wazo la kuwa program za makombora yenye kupiga sehem yoyote uliyoitaka hakika waliifanya home work yao vizur walichagua kilichochema wao wakakomaa na mindege iyobeba hatari kubwa na gharama za kuindesha. Iran sio mjinga kila anachofanya cha maana lazima akichimbie ardhini ..ww utahangaika na vibanda vilivgopo hapo juu hutaambulia cha maana
 
Utafiti wa silaha za nyukilia ni shughuli nyeti sana Iran hawezi kuufanya kihasara hasara ni lazima iwe sehemu nyeti na ngumu kuhatibiwa.
Iran wanafikiri miaka 100 ijayo na wanatumia akili yao viziri ..hawawezi kuweka vitu vya maana juu ya ardh kwa kifupi walijipanga has maana wanajua western wanapenda chokocho sana wakiona unaimarika kijesha
 
Iran ni akil kubwa wazo la kuwa program za makombora yenye kupiga sehem yoyote uliyoitaka hakika waliifanya home work yao vizur walichagua kilichochema wao wakakomaa na mindege iyobeba hatari kubwa na gharama za kuindesha. Iran sio mjinga kila anachofanya cha maana lazima akichimbie ardhini ..ww utahangaika na vibanda vilivgopo hapo juu hutaambulia cha maana
Wapo mbele ya muda...
Wangeamua kufanya deep research kukimbizana na upuuzi wa kuitengeneza fighter 5th gen wasingeahindwa... Lakini wakaona ni gharama kubwa na upuuzi...

Wakaamua kuwekeza nguvu zao zote kwenye missiles... Missiles zenye shabaha..

F35 zinaonekana kwenye radar, tena vizuri sana, sema tu radar itafananisha F35 na viumbe hai virukavyo kama ndege n.k radar ina ignore.. lakini wana variants za defense systems kama s300 , s200 na hio mifumo ya bavar, zina uwezo kusoma na kugundua hii ni F35 na hii sio, kwanza kabisa F35 hata ikirudisha signal ikaonekana kwenye radar ni ndege mnyama ndio anaruka, radar itatofaitisha speed, hakuna ndege mwenye mbawa anakwenda speed ya mach 1.5 au zaidi... Hapo radar itagundua hio ni ndege vita ama drone ya adui..

Hapo ndipo target ina lock na kudunguliwa ..

Kwa ujio wa AI na tech za sasa who knows kama wameshaanza kuweka tech za AI kwenye radar na defense systems zao, F35 ni upuuzi, haiwezi confuse radar...
 
BBC walidai kuwa satellite images hazioneshi vizuri madhara ya shambulizi.
Leo hii wanakwambia kuwa nuclear site imeharibiwa.
Hapo hapo walidai nuke site za Iran ziko underground situated ngumu kufikia.
😂😂😂😂😂Which is which jamani!?
 
Pumbavu mama yako...mngese wewe huwezi kuchangia bila kutukana?
Mpumbavu sio tusi,bali ni sifa ya mtu kujifanya anajua kumbe hajui.
Kijana una umri gani wewe!?
Sasa wewe ndio umetukana.
Unamuitaje mwenzako hanithi!?
 
Back
Top Bottom