Kituo cha televisheni cha ATN chavamiwa na majambazi

Kituo cha televisheni cha ATN chavamiwa na majambazi

Aristides Pastory

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2012
Posts
348
Reaction score
60
Habari nilizozipata hivi punde ni kuwa kituo cha matangazo cha televisheni cha ATN kimevamiwa na watu wasiofahamika.
Watu hao wamefanikiwa kuvunja mali zote ikiwemo na kung'oa vifaa vyote vya kurushia matangazo.

########<<<<<
MODERATOR:

Taarifa zilizothibitishwa ni kuwa wizi uliotokea umefanywa na majambazi ambapo wameiba kompyuta, vifaa vya kurekodia lakini si mitambo ya kurushia matangazo.

Wizi huo umefanyika usiku wa kuamkia leo (Oktoba 22, 2012)

Vifaa vilivyoibiwa ni Desktop computers 3, Laptop computers 3 na DvD recorders 2
 
Habari nilizozipata hivi punde ni kuwa kituo cha matangazo cha televisheni cha ATN kimevamiwa na watu wasiofahamika.
Watu hao wamefanikiwa kuvunja mali zote ikiwemo na kung'oa vifaa vyote vya kurushia matangazo.
Source?
 
I see, kama ni kweli basi tumefika kubaya. Sijui utakuwa bado ni mwendelezo ule ule wa chuki za kidini au kuna jambo lingine hapo tofauti?
 
Walio na tv now,inaonekana au haionekani?
 
Anapima upepo kama ghadhabu/hasira ya wakristo inataka kufika mwisho kuweni makini na mtu ambaye chanzo cha taarifa yake kimejaa mashaka.
 
Nimepita Jogoo nkaona watu wanazungukazunnguka kwenye makao makuu ya studio zao
 
kama ni kweli na pakawa pana uhusiano wowote na fujo za kidini baasi hata sisi sasa uvumilivu utatushinda.
 
Wakuu, hamna mdau yeyote ambaye yupo karibu na tv, atujuze kama kweli hiyo tv haipo hewani!
 
hawa wanafikiri kuharibu makanisa na madhabau ndo kutokomeza ukristo kama wanavyotaka wao hapa duniani? never ever!
 
[B said:
MODERATOR:[/B]

Taarifa zilizothibitishwa ni kuwa wizi uliotokea umefanywa na majambazi ambapo wameiba kompyuta, vifaa vya kurekodia lakini si mitambo ya kurushia matangazo.

Wizi huo umefanyika usiku wa kuamkia leo (Oktoba 22, 2012)
Thankx mods maana ingekuwa ni mambo yale yale ya uamsho hali ingekuwa tete now!!!!Kova mtihani mwingine huo intelejensia yako inatakiwa hapa mtuambie mnawashikilia wangapi....
 
Itakuwa ni kweli manaake leo vipindi vyao vyote havijawa hewani! Wanarusha recorded eve! Jamaan kweli shetani kaingia tz
 
Lakini mimi siwezi ku comment kuwa ni mbegu ya udini ila ni wivu!
 
Back
Top Bottom