TODAYS
JF-Expert Member
- Apr 30, 2014
- 14,747
- 24,250
Eneo kinapotarajiwa kujengwa ni palepale Bondeni City ambapo pembeni yake kutakuwa na mji wa kisasa (satellite city)
Kwa mgeni wa jiji la Arusha, eneo la bondeni lipo barabara inayoelekea kwenye kambi ya kufunza vijana (JKT Oljoro) kutoka kwa mromboo ni takribani 8km.
Kwa taarifa za awali ni kuwa kituo hicho kinaanza kujengwa kuanzia mwezi wa kwanza (January) ambapo tayari vifaa vya ujenzi vya mkandarasi vipo njiani.
Soma Pia: Hii stand kuu ya Arusha ni aibu kwa Rais wa nchi
Hivyo basi baada ya sarakasi nyingi za akina Gambo and company kutaka stand ijengwe kwenye maeneo yao ili serikali iwalipe naona kabisa ni gharabao!!.
Welcome Geneva of Africa 😂!.