Serikali ya wkt wa Magufuri ilikuwa tayari inataka kutoa pesa iliyotengwa mkuu, shida ikaja kwa wanasiasa kina Gambo and company.Hizi blah blah za ujenzi wa stand ya mabasi ya Arusha nimezikisikia tangu 2016 na kila mwaka wanatangaza kinakwenda kikamilika.
Hivi mpaka leo hii bado hakijakamilika?
Mambo ya serikali hayo, too much word vitendo zeroHizi blah blah za ujenzi wa stand ya mabasi ya Arusha nimezikisikia tangu 2016 na kila mwaka wanatangaza kinakwenda kikamilika.
Hivi mpaka leo hii bado hakijakamilika?
Tatizo la Arusha ni thamani ya ardhi! Bei ziko juu sana. Hivyo kila mwenye nafasi pale Arusha Jiji anawaza udalali na manufaa binafsi.Hizi blah blah za ujenzi wa stand ya mabasi ya Arusha nimezikisikia tangu 2016 na kila mwaka wanatangaza kinakwenda kikamilika.
Hivi mpaka leo hii bado hakijakamilika?
Hizo zishaibwa! Uwanja wa Afcon unajengwa kwa fedha za CAF na FIFAPesa imeelekwgwa kujenga uwanja wa mpira 'Samia Stadium 🏟️ asee daaa!.
Uwanja upo zaidi ya asilimia 30.Na maendeleo ya uwanja wa mpira wa AFCON uko je?