Kituo Kikuu cha mabasi cha Magufuli?? Kituo Kikuu cha treni/SGR cha Magufuli??

Nina Akili Ndogo Sana

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2026
Posts
865
Reaction score
1,125
NB: Nina Akili Ndogo Sana

Kulikuwa na umuhimu gani wa kuwa na Vituo vikuu viwili (mabasi na teni) vyote vyene jina mtu mmoja ndani ya Jiji moja kubwa la Dar?? Vyote vinaitwa vituo vya Magufuli.

At least Kile cha bus Mbezi Luis kingeendelea kuitwa kituo cha Magufuli alafu hiki cha treni kikaitwa cha Samia au kiongozi mwingine kulingana na utaratibu wa nchi.

Kituo cha treni/SGR cha Dodoma kilipaswa kuitwa Magufuli kisha hiki cha Dar kikaitwa Samia au kiongozi mwingine yoyote Mfano: Jakaya Kikwete, Ally Hassan Mwinyi, Benjamin Mkapa.

Julius Nyerere nisingependekeza sana kwa maana tayari tunao uwanja wa ndege number moja wenye jina hilo.

NB: Hata uwanja wa ndege wa Mwanza unaweza ukaitwa John Mgufuli kwa maana anatokea Kanda ile ya ziwa Victoria.
 
Kituo cha treni/SGR kilipaswa kuitwa Magufuli kisha hiki cha Dar kikaitwa Samia au kiongozi mwingine yoyote Mfano: Jakaya Kikwete, Ally Hassan Mwinyi, Benjamin Mkapa.

Julius Nyerere nisingependekeza sana kwa maana tayari tunao uwanja wa ndege number moja wenye jina hilo.

NB: Hata uwanja wa ndege wa Mwanza unaweza ukaitwa John Mgufuli kwa maana anatokea Kanda ile ya ziwa Victoria.
Kwani lazima miundombinu yenu mikubwa iitwe majina ya watu ?..
 
NB: Nina Akili Ndogo Sana

Kulikuwa na umuhimu gani wa kuwa na Vituo vikuu viwili (mabasi na teni) vyote vyene jina mtu mmoja ndani ya Jiji moja kubwa la Dar?? Vyote vinaitwa vituo vya Magufuli.

At least Kile cha bus Mbezi Luis kingeendelea kuitwa kituo cha Magufuli alafu hiki cha treni kikaitwa cha Samia au kiongozi mwingine kulingana na utaratibu wa nchi.

Kituo cha treni/SGR cha Dodoma kilipaswa kuitwa Magufuli kisha hiki cha Dar kikaitwa Samia au kiongozi mwingine yoyote Mfano: Jakaya Kikwete, Ally Hassan Mwinyi, Benjamin Mkapa.

Julius Nyerere nisingependekeza sana kwa maana tayari tunao uwanja wa ndege number moja wenye jina hilo.

NB: Hata uwanja wa ndege wa Mwanza unaweza ukaitwa John Mgufuli kwa maana anatokea Kanda ile ya ziwa Victoria.
Hata jina tu linakusumbua! Havina maana hivyo hata kingebaki kuitwa kituo cha tren/mabasi bila jina la mtu yeyote kinafanya kazi.
 
Njoo unipokee uwanja wa Julius Nyerere. Ni lazima mtu ajieleze??
Hivi tukikutana hapo Morocco , na weww ni boda au taxi, nikakwambia nipeleke Mtongani, kama wewe ni mzoefu hutaniuliza ya "tegeta au mbagala?" Msana kama mimi msafiri ni mzoefu ninawajibu wa kumnyooshea maelezo boda au taxi nipeleke mtongani ya mbagala n.k
 
Tegeta hamna Mtongani. Mtongani iko Kunduchi, kata ya Kunduchi wilayani Kinondoni
 
Back
Top Bottom