Nina Akili Ndogo Sana
JF-Expert Member
- Jun 2, 2026
- 865
- 1,125
Kwani lazima miundombinu yenu mikubwa iitwe majina ya watu ?..NB: Nina Akili Ndogo Sana
Kulikuwa na umuhimu gani wa kuwa na Vituo vikuu viwili (mabasi na teni) vyote vyene jina mtu mmoja ndani ya Jiji moja kubwa la Dar?? Vyote vinaitwa vituo vya Magufuli.
At least Kile cha bus Mbezi Luis kingeendelea kuitwa kituo cha Magufuli alafu hiki cha treni kikaitwa cha Samia au kiongozi mwingine kulingana na utaratibu wa nchi.
Kituo cha treni/SGR kilipaswa kuitwa Magufuli kisha hiki cha Dar kikaitwa Samia au kiongozi mwingine yoyote Mfano: Jakaya Kikwete, Ally Hassan Mwinyi, Benjamin Mkapa.
Julius Nyerere nisingependekeza sana kwa maana tayari tunao uwanja wa ndege number moja wenye jina hilo.
NB: Hata uwanja wa ndege wa Mwanza unaweza ukaitwa John Mgufuli kwa maana anatokea Kanda ile ya ziwa Victoria.
Sio majina ya kisiasa, bali ni majina ya viongozi wetu. Hata kama ni Freeman Mbowe au Ndesamburo, haina shida.Sio lazima mkuu, Tunaweza rename vituo vyetu against mbuga zetu au hata wanyama.
Hayo majina ya kisiasa they are useless
Njoo unipokee kituo cha Magufuli?? Kituo kipi??Shida ipo wapi hasa?
Sio lazima nimchukie/nimpende Lissu au Samia. Tanzania kwanza. Siasa baadae.Nchi hii uchawa mwingi sana
Lazima ujieleze, njoo unipokee kituo cha treni magufuli ama njoo unipokee kitio cha mabasi magufuli.Njoo unipokee kituo cha Magufuli?? Kituo kipi??
Njoo unipokee uwanja wa Julius Nyerere. Ni lazima mtu ajieleze??Lazima ujieleze, njoo unipokee kituo cha treni magufuli ama njoo unipokee kitio cha mabasi magufuli.
Asa mtu anakuja na treni we uende Mbezi Luis?Njoo unipokee kituo cha Magufuli?? Kituo kipi??
Kituo cha Magufuli, kituo cha nini hasa?Njoo unipokee kituo cha Magufuli?? Kituo kipi??
Hata jina tu linakusumbua! Havina maana hivyo hata kingebaki kuitwa kituo cha tren/mabasi bila jina la mtu yeyote kinafanya kazi.NB: Nina Akili Ndogo Sana
Kulikuwa na umuhimu gani wa kuwa na Vituo vikuu viwili (mabasi na teni) vyote vyene jina mtu mmoja ndani ya Jiji moja kubwa la Dar?? Vyote vinaitwa vituo vya Magufuli.
At least Kile cha bus Mbezi Luis kingeendelea kuitwa kituo cha Magufuli alafu hiki cha treni kikaitwa cha Samia au kiongozi mwingine kulingana na utaratibu wa nchi.
Kituo cha treni/SGR cha Dodoma kilipaswa kuitwa Magufuli kisha hiki cha Dar kikaitwa Samia au kiongozi mwingine yoyote Mfano: Jakaya Kikwete, Ally Hassan Mwinyi, Benjamin Mkapa.
Julius Nyerere nisingependekeza sana kwa maana tayari tunao uwanja wa ndege number moja wenye jina hilo.
NB: Hata uwanja wa ndege wa Mwanza unaweza ukaitwa John Mgufuli kwa maana anatokea Kanda ile ya ziwa Victoria.
Hivi tukikutana hapo Morocco , na weww ni boda au taxi, nikakwambia nipeleke Mtongani, kama wewe ni mzoefu hutaniuliza ya "tegeta au mbagala?" Msana kama mimi msafiri ni mzoefu ninawajibu wa kumnyooshea maelezo boda au taxi nipeleke mtongani ya mbagala n.kNjoo unipokee uwanja wa Julius Nyerere. Ni lazima mtu ajieleze??
Big Ben in London unajua historia yake?Sio lazima nimchukie/nimpende Lissu au Samia. Tanzania kwanza. Siasa baadae.
Tegeta hamna Mtongani. Mtongani iko Kunduchi, kata ya Kunduchi wilayani KinondoniHivi tukikutana hapo Morocco , na weww ni boda au taxi, nikakwambia nipeleke Mtongani, kama wewe ni mzoefu hutaniuliza ya "tegeta au mbagala?" Msana kama mimi msafiri ni mzoefu ninawajibu wa kumnyooshea maelezo boda au taxi nipeleke mtongani ya mbagala n.k
Nina Akili Ndogo Sana, siwezi kujua mkuu..Big Ben in London unajua historia yake?
Basi, terminals zote za Dar/Tanzania zingepewa jina la kiongozi mmoja tu.Asa mtu anakuja na treni we uende Mbezi Luis?
Asante kwa taarifa 😁Tegeta hamna Mtongani. Mtongani iko Kunduchi, kata ya Kunduchi wilayani Kinondoni