Kituo Kikuu cha mabasi cha Magufuli?? Kituo Kikuu cha treni/SGR cha Magufuli??

Mkuu ukifika hapo ndo utajua magufuri ni nan

Na ndo utajua kwanini msoga hata nguzo moja asingeweza simamisha hapo

Achana na magufuri mkuu huyo ni habari nyingine na anadunia yake kabisa
Huyo msoga ana mema yake mengi sana pia
 
Ili kuweka kumbukumbu vizuri kwa vizazi vijavyo, na ukizingatia majina ya viongozi yameshatamalaki, tungevibatiza hivi vituo kulingana na matukio ya wakati husika.
Kwa mfano Mateka bus terminal, Uhaini daladala terminal, Octo_deaths bridge, nk.
 
Kile kituo cha SGR Dar kingeitwa Jina la madini yetu Adimu TANZANITE
 
Ukipanda SGR ndio utaelewa kwa nini kituo cha "Stesheni" kikapewa jina la Magufuli, his vision, execution and now we're using one of the best outcomes of his regime, huwezi kukimbia hilo jina, hata kivuli kitakufuata.

Kuna watu wanakuja duniani for a reason, na wala hawakai sana wanaondoka.
 
Una akili ndogo sana😂😂😂😂😂😂
 
ok.🐒
 
Pamoja na udikteta wake alikuwa vizuri san kwenye miradi ya ujenzi hasa barabara, stendi za miji mbalimbali pamoja na yeye kuanzisha ujenzi wa SGR
 
Unaandika pumba tu,
Yaleyale eti Samia.
Vitu vingapi vimeitwa hilo jina 1000×1000
Hujashangaa.
Una akili kisoda kabisa
 
Zilitakiwa kuitwa jina la eneo husika kama zamani, ubungo na kisutu bus terminal
Na vituo vya treni hivyo hivyo, kama Kintinku na Pugu
Ni airport tu hasa za kimataifa ndio unaweza kuzipa jina la kiongozi au historia
 
Kwanini Magufuli, kwanini Samia ? Kwanini sio Dar es salaam Bus Stand/ DSM Train stations?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…