Kituo kinachofata ni Pakistan, Qatar, Uturuki, Saudia kisha Jordan

sanalii

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2018
Posts
1,743
Reaction score
6,240
Ukishakua upande wa Marekani unaweza fanya lolite na hakuna kitakutokea, Na Israel hataki kuzunguukwa na nchi zilizo imara.

1. Walisema Israel ikiingia gaza ni ww3, nothing happen
2. Walisema Ukraine ikipiga ndani ya Russia itafutwa, nothing happened
3. Wakasema hisbullah wakiingia wataifuta Israel, hisbullah sasa ni kama imekufa
4. Wakasema Iran ikishambuliwa, imeshbuliwa na hakuna chochote.

Kwakua imeshaonekana kua inawezekana, Israel atafata mmoja baada ya mwengine akiwa mgongoni mwa USA
 
Vita ya Israel na Hamas ilipoanza, Hamas ikazidiwa ndani ya muda mfupi. Tukaambiwa "Hezbollah siyo migambo ya Hamas, siku Israel ikijichanganya kwa Hezbollah, Israel itafuwa ndani ya siku saba" 😅😅😅

Hadi Sasa Hamas, Hezbollah, Houthy na mama yao Iran wameshamsujudia Netapaka
 
Ukishakua upande wa Marekani unaweza fanya lolite na hakuna kitakutokea, Na Israel hataki kuzunguukwa na nchi zilizo imara.

1. Walisema Israel ikiingia gaza ni ww3, nothing happen
2. Walisema Ukraine ikipiga ndani ya Russia itafutwa, nothing happened
3. Wakasema hisbullah wakiingia wataifuta Israel, hisbullah sasa ni kama imekufa
4. Wakasema Iran ikishambuliwa, imeshbuliwa na hakuna chochote.

Kwakua imeshaonekana kua inawezekana, Israel atafata mmoja baada ya mwengine akiwa mgongoni mwa USA
Hakika inapendeza.
 
Greater Israel inafika mpaka maeneo ya Saudia Arabia ni suala la muda
Sahau hilo, Qatar na Saudia hao wanajitambua kdg hawataki vita mana sehemu za kwanza kulipulia itakuwa pale Macca na Dubai, Hao sio kama vichaa Iran
 
Professional liers kazini! Israel hana muda na ardhi za waarabu; anachotaka ni kuheshimiwa kwa mipaka ya taifa lake.
 
Wao kuto kutaka haizuii ndoto ya Israel ya Greater Israel ni suala la muda
 
Professional liers kazini! Israel hana muda na ardhi za waarabu; anachotaka ni kuheshimiwa kwa mipaka ya taifa lake.
Asingekuwa amekalia eneo la Syria kimabavu mpaka leo
 
Jordan unawasingizia tu, hawa jamaa ni kama nao ni sehemu ya Israel vile, huwa hawataki shida na Israel kabisa.
 
Jihadists wamepoteana lkn bado ni swala la muda tu watalihama hili jukwaa au kubadili I'd. Tuweke macho.
 
Back
Top Bottom