Kituo kinachofata ni Pakistan, Qatar, Uturuki, Saudia kisha Jordan

Kituo kinachofata ni Pakistan, Qatar, Uturuki, Saudia kisha Jordan

USA ana military base hapo Jordan huyu alishakubali mapema kuishi Kwa Amani na wenzake..... Qatar, Saudi Arabia na turkey ni familia moja na USA pamoja na Israel hata Pakistan Hana shida na USA ndiyo maana kwenye vita yake na India ilimalizwa mapema Sana na trump, wiki iliyopita waziri wa mambo ya nje wa Pakistan amempongeza trump na kupendekeza kuingia kwenye tuzo za Nobel Kwa kile alichofanya
 
Back
Top Bottom