Greater Israel inafika mpaka maeneo ya Saudia Arabia ni suala la mudaQatar na Saudia Arabia walishajiwahi ku-surrender kwa USA Kwahy watoe hapo
Vita ya Israel na Hamas ilipoanza, Hamas ikazidiwa ndani ya muda mfupi. Tukaambiwa "Hezbollah siyo migambo ya Hamas, siku Israel ikijichanganya kwa Hezbollah, Israel itafuwa ndani ya siku saba" 😅😅😅3. Wakasema hisbullah wakiingia wataifuta Israel, hisbullah sasa ni kama imekufa
Hakika inapendeza.Ukishakua upande wa Marekani unaweza fanya lolite na hakuna kitakutokea, Na Israel hataki kuzunguukwa na nchi zilizo imara.
1. Walisema Israel ikiingia gaza ni ww3, nothing happen
2. Walisema Ukraine ikipiga ndani ya Russia itafutwa, nothing happened
3. Wakasema hisbullah wakiingia wataifuta Israel, hisbullah sasa ni kama imekufa
4. Wakasema Iran ikishambuliwa, imeshbuliwa na hakuna chochote.
Kwakua imeshaonekana kua inawezekana, Israel atafata mmoja baada ya mwengine akiwa mgongoni mwa USA
Sahau hilo, Qatar na Saudia hao wanajitambua kdg hawataki vita mana sehemu za kwanza kulipulia itakuwa pale Macca na Dubai, Hao sio kama vichaa IranGreater Israel inafika mpaka maeneo ya Saudia Arabia ni suala la muda
Professional liers kazini! Israel hana muda na ardhi za waarabu; anachotaka ni kuheshimiwa kwa mipaka ya taifa lake.Greater Israel inafika mpaka maeneo ya Saudia Arabia ni suala la muda
Wao kuto kutaka haizuii ndoto ya Israel ya Greater Israel ni suala la mudaSahau hilo, Qatar na Saudia hao wanajitambua kdg hawataki vita mana sehemu za kwanza kulipulia itakuwa pale Macca na Dubai, Hao sio kama vichaa Iran
Asingekuwa amekalia eneo la Syria kimabavu mpaka leoProfessional liers kazini! Israel hana muda na ardhi za waarabu; anachotaka ni kuheshimiwa kwa mipaka ya taifa lake.
For strategic purposes.Asingekuwa amekalia eneo la Syria kimabavu mpaka leo
Ujinga ujinga tu.For strategic purposes.
Anawanyoosha kweli kweli.Ujinga ujinga tu.
Ni kweli kama CCMAnawanyoosha kweli kweli.