Kituo kipya cha mabasi Dar kuanza kutumika Desemba 20

Kituo kipya cha mabasi Dar kuanza kutumika Desemba 20

Magari kutoka Kanda ya ziwa hufika DAR usiki wa manane mengi, halafu ukute ndio unatakiwa kwenda Bunju, yerewiiiiii

Hawa wa kanda ya ziwa tunalala nao hapa stand kila siku. Asubuhi ndugu zao huja kuwachukua.
 
Back
Top Bottom