wakuja town
JF-Expert Member
- Oct 26, 2020
- 898
- 1,343
acha uongo, tanga yenyewe wanaofanya hivyo ni tashreef tu nao pia wanapigwa vita na watu wa daladala sana
Magari kutoka Kanda ya ziwa hufika DAR usiki wa manane mengi, halafu ukute ndio unatakiwa kwenda Bunju, yerewiiiiii
Zipo daladala Mbezi gomz kupitia kinyereziSijui sisi wa gongo la mboto daladala zitakuwepo za kutupeleka kwetu, nama tulizoea ubungo unasogea tu pale sogas unadandia daladala
SGR Dar/Moro walituambia Nov. 2019 sasa hivi nasikia labda 2021Mlituambaia Nov 30, sasa ni dec 20, sawa sawa
Hakuna shida utapita goba, madale,tegeta,bunjuMagari kutoka Kanda ya ziwa hufika DAR usiki wa manane mengi, halafu ukute ndio unatakiwa kwenda Bunju, yerewiiiiii
Alafu ni LABDASGR Dar/Moro walituambia Nov. 2019 sasa hivi nasikia labda 2021